uko sahihi...ZZZ mpaka 2100 trust me.
Kama AAA mpaka sahv inamiaka kama kumi naa hiv sasa kufika mpaka ZZZ itakua ni leo?
Yaan tuko kwenye D saiv... Mpaka kuja kufika Z n leo??? .. ha hazitofika mwsho kamwe... tunaweza anza na AAAA tena
Hana akili jamaa"uko sahihi...
mimi gari yangu Txxx AHB nimeisajili 2004 ina miaka 13 na sasa DXX. bado sana...
hata dunia itakuwa na mwisho.. lakini lini? waliobuni walitaka namba zikae muda mrefuuuu sana bila kubadili muundo wakeWakati mwingine kama huna la kushauri ni bora kukaa kimya au pitia nyuzi za watu ili ujifunze.
Sio kila kitu kukosoa tu.
Hata hivyo ni nani alikwambia kuna kitu kisicho na mwisho??
Hili nalo nenooo!Leta proposal ya number unazotaka wewe ofisini kesho.
hata dunia itakuwa na mwisho.. lakini lini? waliobuni walitaka namba zikae muda mrefuuuu sana bila kubadili muundo wake
dah! nimemkubali mtu mmoja hapo juu..''akili''Hiyo kitu sahau ndugu maana kila mtu akitaka kitu chake kikae muda mrefu nafikiri hata wafalme wangependa waendelee kuwepo duniani ili watawale muda mrefuuuu
halafu sijaona namba TXXXDIX...I mean sijaona DIUnapo Fanya uchambuzi wa mfumo gani utumike (Identification Code) lazima uhakikishe vitu hivi unavizingati.
1. Mfumo wako unataka uwe na muda gani bila namba kujirudia.
2. Mfumo wako lazima ubebe taarifa , mfano nikisoma namba ya gari nipate taarifa Fulani za gari, sisi hapa utakuta rangi ndio zinatumika.
na mengine mengi.
nikianza na hill kwanza , nimeshtuka sana kuona hadi sasa tumesha anza kutumia namba za DKX XXX INA maana miaka michache ijayo itabidi tunaanze upya maana namba zitakua zote zimesha tumika.
Je aliyependekeza mfumo wa namba za magari alikua anafikiria jambo hili?
Tutakuwa au useme watakuwa, kwani we baada ya miaka 20 utakuwepo?miaka 20 ijayo haifiki tutakua tumesha maliza.
Dah...Let me implement my very limited knowledge of mathematics.
The format is T 999 XXX
Tuna possibility ya kuwa na namba 100 - 999. Sijawahi kuona T 099 XXX. I stand to be corrected.
Hivyo kimahesabu tuna namba tofauti 999 - 100 = 899
X stands for alphabetic characters except O and I -> 24 letters
Out of the 24 letters, 3 can be arranged in format XXX.
Kupata the total possible number of XXX arrangement ni 24*24*24
The result: 13,824 arrangements (from AAA to ZZZ)
Kwa kila namba kati ya 100-999 tuna combinations za herufi 13,824.
Kwahiyo total number of T 999 XXX combinations ni 899 * 13,824 = 12,427,776
Hivyo basi, mfumo huu wa usajili unaweza kuhandle jumla ya vyombo 12,427,776 (Milioni kumi na mbili laki nne ishirini na saba elfu mia saba sabini na sita).
Tangu mfumo huu uanze kutumika mnamo mwaka 2005 tumekwisha exhaust combinations through T 999 DZZ (Assumption). Tujaribu kuangalia ni vyombo vingapi vimekwisha sajiliwa.
Arrangements kati ya AAA - DZZ. Hi ni A(AA-ZZ) B(AA-ZZ) C(AA-ZZ) D(AA-ZZ).
Kila (AA-ZZ) combo ina possibilities 24*24 = 576
Hivyo kwa A mpaka D ni A(552) + B(552) + C(552) + D(552) = 4 * 576 = 2,304
Jumla ya vyombo = 899 * 2304 = 2,071,296
Hivyo nasi, kuanzia T 100 AAA mpaka T 999 DZZ vyombo 2,071,296 vimekwisha sajiliwa. Mind you kuna pikipiki na bajaji zilizokuwa zinakimbiza sana namba.
Hii ina maana kuanzia T 100 EAA mpaka mwisho wa mfumo, magari 10,356,480 yanaweza kusajiliwa.
Imetuchukua miaka 12 kusajili vyombo 2,071,296. Je, tukitoa pikipiki na bajaji, itatuchukua miaka mingapi kusajili vyombo 10,356,480?? Data zaidi zinatakiwa. Kama kuna mwenye gari DAA atuambie ilisajiliwa mwaka gani tujue ni muda gani umepita.
N.B Wataalamu wa hesabu tafadhalini sahihisheni logic yangu. Jibu hili sio definitive.
Dah.... Hata Mjukuu wako atazikuta na kumuacha [emoji12] [emoji12]miaka 20 ijayo haifiki tutakua tumesha maliza.
Siyo leo unamaanisha hadi miaka 50 ijayo au wewe siyo leo yako ni miaka 10 tu ijayo?Mkuu una uhakika kwamba huu mfumo wetu siyo mzuri? Hivi umewahi kujiuliza gari namba T101AAA ilitoka mwaka gani? Na leo hii 2017 bado tuko TxxxDxx! Ni lini mkuu tutaifikia TxxxZZZ? Siyo leo mkuu wangu naamini sisi tunaoandika hapa tutakuwa tumezeeka sana na anayejiona ni mdogo kabisa hapa ndani atakuwa amefikia umri usiokuwa na jina. Hivyo itakuwa sawa tu hata wakianzisha mchakato wa namba mpya wakati huo.
Elimu,elimu,elimu..Unapo Fanya uchambuzi wa mfumo gani utumike (Identification Code) lazima uhakikishe vitu hivi unavizingati.
1. Mfumo wako unataka uwe na muda gani bila namba kujirudia.
2. Mfumo wako lazima ubebe taarifa , mfano nikisoma namba ya gari nipate taarifa Fulani za gari, sisi hapa utakuta rangi ndio zinatumika.
na mengine mengi.
nikianza na hill kwanza , nimeshtuka sana kuona hadi sasa tumesha anza kutumia namba za DKX XXX INA maana miaka michache ijayo itabidi tunaanze upya maana namba zitakua zote zimesha tumika.
Je aliyependekeza mfumo wa namba za magari alikua anafikiria jambo hili?
Well done kiongozi, "hisabati" na "programesheni" zimekaa sawia kabisaLet me implement my very limited knowledge of mathematics.
The format is T 999 XXX
Tuna possibility ya kuwa na namba 100 - 999. Sijawahi kuona T 099 XXX. I stand to be corrected.
Hivyo kimahesabu tuna namba tofauti 999 - 100 = 899
X stands for alphabetic characters except O and I -> 24 letters
Out of the 24 letters, 3 can be arranged in format XXX.
Kupata the total possible number of XXX arrangement ni 24*24*24
The result: 13,824 arrangements (from AAA to ZZZ)
Kwa kila namba kati ya 100-999 tuna combinations za herufi 13,824.
Kwahiyo total number of T 999 XXX combinations ni 899 * 13,824 = 12,427,776
Hivyo basi, mfumo huu wa usajili unaweza kuhandle jumla ya vyombo 12,427,776 (Milioni kumi na mbili laki nne ishirini na saba elfu mia saba sabini na sita).
Tangu mfumo huu uanze kutumika mnamo mwaka 2005 tumekwisha exhaust combinations through T 999 DZZ (Assumption). Tujaribu kuangalia ni vyombo vingapi vimekwisha sajiliwa.
Arrangements kati ya AAA - DZZ. Hi ni A(AA-ZZ) B(AA-ZZ) C(AA-ZZ) D(AA-ZZ).
Kila (AA-ZZ) combo ina possibilities 24*24 = 576
Hivyo kwa A mpaka D ni A(552) + B(552) + C(552) + D(552) = 4 * 576 = 2,304
Jumla ya vyombo = 899 * 2304 = 2,071,296
Hivyo nasi, kuanzia T 100 AAA mpaka T 999 DZZ vyombo 2,071,296 vimekwisha sajiliwa. Mind you kuna pikipiki na bajaji zilizokuwa zinakimbiza sana namba.
Hii ina maana kuanzia T 100 EAA mpaka mwisho wa mfumo, magari 10,356,480 yanaweza kusajiliwa.
Imetuchukua miaka 12 kusajili vyombo 2,071,296. Je, tukitoa pikipiki na bajaji, itatuchukua miaka mingapi kusajili vyombo 10,356,480?? Data zaidi zinatakiwa. Kama kuna mwenye gari DAA atuambie ilisajiliwa mwaka gani tujue ni muda gani umepita.
N.B Wataalamu wa hesabu tafadhalini sahihisheni logic yangu. Jibu hili sio definitive.
HahahahahaMimi hata sielewi unachokosoa. Ukumbuke kuwa mfumo huu ulihamiwa kutoka wa zamani, kwa hiyo magari mengi yaliingizwa kwa pamoja kutoka namba za zamani kuja mpya. Pili, hapo awali piki piki nazo zilisajiliwa kwa namba hizi hizi, lakini sasa piki piki zimeondolewa kwa hiyo kasi ni ndogo.
Tangu namba DAA ianze ni miaka sasa maana nina gari natumia imesajiliwa namba DCW mwaka 2014 na hapo namba ziliwahishwa na boda boda...hebu kamalizie usingizi ukirudi utajua kuwa DZZ yenyewe tu itatuchukua miaka sembuse ZZZ.
Wewe gari lako litasajiliwa T 999 ZZZ ufurahi