Alivyo fanya ilikuwa sahihi?

Alivyo fanya ilikuwa sahihi?

Sky Éclat ni kwamba kwenye mapenzi kuna mambo ambayo huna sababu ya kusema ukweli! kwa mfano huyo bidada a.k.a shost hakuwa na sababu ya kusema ukweli! Kwenye mapenzi kuna mahali ambapo ukisimamia uongo ndio penzi lina noga kuliko kusema ukweli
 
Mkuu hakuna kosa kubwa kwa mwanamke ndan ya ndoa kama kuchepuka tena hapo na amshukuru mmewe kwa kuendelea nae kwa wanaume wengine hakuna mjadala ni talaka tu hata kama ndoa kaifungisha papa
Hebu ifike mahali nyie wanaume muache umimi wenu... Yani mnajifikiria tu nyie linapokuja swala la usaliti

Moyo mliyonayo nyie ni hiyohiyo waliyonayo wanawake. Kuona ni haki/halali/kawaida mwanaume kuchepuka na kwa mwanamke ni kosa kubwa huo ni ubinafsi wa hali ya juu na usio na mantiki

Kuchepuka hakukubaliki iwe kwa mwanaume au kwa mwanamke... Unapenda kusamehewa basi nawe jifunze kusamehe... Unapenda mwanamke wako akutunzie penzi lako basi nawe mtunzie la kwake sio unagawa gawa kama karanga...
 
And from the story mume nae ana majanga yake lakin as long as hakuna sehem aliyoadmit atabakia kua clean untill the end of the word
nyooooooo[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji124]
 
When u cheat a man is over there is no "shetani alinipitia o that"
Mnajua why men cheat?ni tamaa na anaweza kuamka asubuh asichukue hata namba ya mwanamke aliyelala nae but wanawake saaa u cant cheat bila affection and attention so t means mpaka mnamfunulia MTU miguu tayari at some point kakuingia kumoyo so nikusamehe wakat najua mapenz yenu yataendelea?
kweli
 
dv_power_control.gif
 
Asingekubali hata angekewa mtutu wa bunduki, kuna vitu hutakiwi kuvikubali hata kidogo....mbona alitegeka kijinga ivyo? Kwa wanaume nahisi hakuna kinachowauma kama kugongewa
 
Heri ya sikukuu wapenzi,

Huyu jirani yangu na mume wake wana watoto wawili, wakiume na wakike, bidada alitafuta sana nafasi ya kwenda kuongeza elimu, amepata chuo Mwanza, mume kwa furaha alimpeleka mke wake mpaka Mwanza, walitafuta nyumba nzima na baba alilipa pango la mwaka mzima, kwasabu watoto na house girl walikwenda Mwanza kukaa na mama.

Kama zawadi ya kuanza shule shost alinunuliwa Mercedes new model ya kuendea shule, kifupi mume wake mpunga umetulia. Akiwa shule, mashost zake Dar, wakina sie tena, tukimuona shemeji na vidada si tunapeleka ujumbe kwa mkewe. Mashallah shost kaumbika, toto la pwani lililotulia, si akapata kijana wa Kisukuma wa kumtoa stress za yale aliyokuwa anayasikia yakiendelea Dar.

Bwana shemeji alikuwa anakwenda Mwanza kila baada ya miezi miwili na akifika hukaa wiki mbili. Kuna wakati akiwa mwanza akapata kidudu mtu wa kumpa story za mkewe, shemeji hasira, alimpiga sana shost, shost alikataa kabisa. Baada ya hapo bwana shemeji aliamua kuwa rafiki, akamwambia shost mimi ni mume wako wa kanisani, tuliahidiana kwa shida na raha, sasa kama kweli mke wangu ulinicheat niambie, shost alilainika kama butter si amwage ukweli wake. Shemeji yangu aliumia sana.

Shost alimaliza shule, akarudi Dar, sasa sikuhizi shemeji ni anaishi yale maisha ya 'I don't care' yaani anarudi saa anayotaka, anaweza kukaa siku tatu hajarudi nyumbani, shost akiuliza anajibiwa wewe si una mambwana zako.

Je ilikuwa sahihi kwa shost kukubali kuwa alikuwa na buzz?
Wanaume hawavumilii kuchitiwa..

Wanawake siri nyingine tunatakiwa kufa nazo vifuani.
 
Back
Top Bottom