Alivyo fanya ilikuwa sahihi?

Alivyo fanya ilikuwa sahihi?

Sometimes yes sometimes no, mtu anaweza kukuuliza kitu kama 'tricky questions' kumbe ana full informations
wewe ukiwa unazugazuga yeye anakuchora tu hata kama alikuwa anakuamini sana hapo uaminifu utashuka mpaka ukaribiane na sifuri
My friend.. That can work elsewhere but not in love affair issues..
Mi kuna best angu wa kike.. Alichepka na Rafiki ake mumewe kwenye trip work bila mbibie kujua.. Sasa ishu ilikuwa jamaa ana ushahid wa kutosha toka kwa jamaa ake.. But mbibie alikataa mpaka Mwsho na jamaa akaelewa
 
Tangia ameadimit sidhani kama amemgusa tena, alikuwa anampenda balaa, sasa mwanaume siku tatu hajarudi nyumbani kuna ndoa hapo kweli?
Nawaza tu uyo bidada kajiroga mwenyewe bana angebaki na jibu moja tu la mwanzo
 
Kuchapiwa ni majanga bora wakuchapie mchumba utaachana nae kirahisi tu kuliko wakuchapie mke ulie zaa nae. Inauma blaaaa unaweza umiza mtu.
 
Kuchapiwa ni majanga bora wakuchapie mchumba utaachana nae kirahisi tu kuliko wakuchapie mke ulie zaa nae. Inauma blaaaa unaweza umiza mtu.
Jamaa kinachomuuma Zaidi ni kuwa masters alilipia ada, alilipa kodi ya nyumba, alinunua gari, wewe acha tu.
 
Jamaa kinachomuuma Zaidi ni kuwa masters alilipia ada, alilipa kodi ya nyumba, alinunua gari, wewe acha tu.
Sasa huyo mdada alitaka afanyiwe kitu gani iliajue kama anapendwa? Kunandugu yangu jambo kama hili lilimtokea japo yeye amemlipia ada mkewe ya diploma clinical officer mke kacheat na classmate wa mume wake.
 
My friend.. That can work elsewhere but not in love affair issues..
Mi kuna best angu wa kike.. Alichepka na Rafiki ake mumewe kwenye trip work bila mbibie kujua.. Sasa ishu ilikuwa jamaa ana ushahid wa kutosha toka kwa jamaa ake.. But mbibie alikataa mpaka Mwsho na jamaa akaelewa
No, huyo jamaa hakua na ushahidi wa kutosha na ndio maana aliishia kulainika kirahisi tu kwa maneno mepesi
 
Pole yake

Alipaswa akatae hadi mwisho wa dunia.... nani anapenda kulambiwa sukari yake????

Ila shosti nae kiazi...anachepuka kwa maneno ya kusikia? Alipata hata utamu kweli????
 
Heri ya sikukuu wapenzi,

Huyu jirani yangu na mume wake wana watoto wawili, wakiume na wakike, bidada alitafuta sana nafasi ya kwenda kuongeza elimu, amepata chuo Mwanza, mume kwa furaha alimpeleka mke wake mpaka Mwanza, walitafuta nyumba nzima na baba alilipa pango la mwaka mzima, kwasabu watoto na house girl walikwenda Mwanza kukaa na mama.

Kama zawadi ya kuanza shule shost alinunuliwa Mercedes new model ya kuendea shule, kifupi mume wake mpunga umetulia. Akiwa shule, mashost zake Dar, wakina sie tena, tukimuona shemeji na vidada si tunapeleka ujumbe kwa mkewe. Mashallah shost kaumbika, toto la pwani lililotulia, si akapata kijana wa Kisukuma wa kumtoa stress za yale aliyokuwa anayasikia yakiendelea Dar.

Bwana shemeji alikuwa anakwenda Mwanza kila baada ya miezi miwili na akifika hukaa wiki mbili. Kuna wakati akiwa mwanza akapata kidudu mtu wa kumpa story za mkewe, shemeji hasira, alimpiga sana shost, shost alikataa kabisa. Baada ya hapo bwana shemeji aliamua kuwa rafiki, akamwambia shost mimi ni mume wako wa kanisani, tuliahidiana kwa shida na raha, sasa kama kweli mke wangu ulinicheat niambie, shost alilainika kama butter si amwage ukweli wake. Shemeji yangu aliumia sana.

Shost alimaliza shule, akarudi Dar, sasa sikuhizi shemeji ni anaishi yale maisha ya 'I don't care' yaani anarudi saa anayotaka, anaweza kukaa siku tatu hajarudi nyumbani, shost akiuliza anajibiwa wewe si una mambwana zako.

Je ilikuwa sahihi kwa shost kukubali kuwa alikuwa na buzz?
Alifanya vizuri kukubali kuwa alikuwa na buzi la kisukuma,na hapo sasa ndio patamu,kama ni mimi,ingekuwa hivyo hivyo kama mme wake anavyofanya,yaani nabadilisha wanawake kama shati,na huyo mke simpi dudu tena,yeye alee watoto tu basi.
 
Yaani shost sasa hivi duniani hayuko wala akhera hayuko, hana Amani kabisa na ndoa yake.

Kama nimesoma vizuri bandiko lako basi bila ya shaka ninyi marafiki zake ndio chanzo cha yanayotokea sasa.
Mlikuwa mnampelekea "Shoga yenu" mnayoyaona kwa mumewe na yasiyowahusu, lengo lilikuwa si lingine kwake, ni kuwa kama inawezekana na yeye afanye, kweli kafanya mumewe kapewa taarifa kam-tight mkewe mke kakubali.
Ninyi yenu mliyomwambia yeye yanabaki maneno ya kusikia, hayana ushahidi, si ajabu jamaa alikuwa hana "Kibustani" wala nini, isipokuwa lengo lenu lilikuwa mumuharibie rafiki yenu akasirike nae aharibu ili labda mtaweza kuwa karibu na jamaa nanyi mpate "Mpunga" wake.
Kinachovunwa sasa katika hiyo ndoa ninyi marafiki zake huyo mwanadada ndio mlikipanda.
Si jambo la ajabu ilikuwa nia yenu mvuruge hiyo ndoa kwa maisha mliyokuwa mkiona anaishi rafiki yenu na mumewe kisa tu jamaa Mpunga umetulia.
Hakika hiyo ndoa nyie ndio mlioivuruga, mngeyaacha kama yalivyo yasiyowahusu kuyasema kwa rafiki yenu hayo yanayotokea sasa yasingetokea.
 
..some things ni vigumu kuwa Judge maana matatizo mengne yanahitaji uhusika wa moja kwa moja ndo uyaelewe
 
Sometimes yes sometimes no, mtu anaweza kukuuliza kitu kama 'tricky questions' kumbe ana full informations


wewe ukiwa unazugazuga yeye anakuchora tu hata kama alikuwa anakuamini sana hapo ndio uaminifu utashuka mpaka ukaribiane na sifuri
Hilo nalo neno
 
Back
Top Bottom