Hakuna fala ka huyo mama. Tangu lini ukasikia mwanamume anataka kutumbukiza pamoja na mwingine?? Acha sasa ale utamu wa maneno yake.
Alisha kataa angesimama wima ka mlingoti kuwa hajawahi wala hatamani mwingine. Baasi na huyo mwizi wala asingelimwona tena. Mbaaf sana. Ache aule wa chuya. Siku ya siku ataosha miguu ya mke mwenzake.
Hadithi ya ukweli; Ati mdada mmoja alichelewa kupata mtoto, baada ya mazungumzo laini laini, si kamweleza mumeye majamaa yaliyomuwahi?? Siku ile ile talaka 3 na hakuna kurudi. Jike limeshatangulia mbele ya haki kwa miwaya.