Alishaolewa lakini anazidi kunitaka nimkwepeje?

Alishaolewa lakini anazidi kunitaka nimkwepeje?

Kumgegeda mke wa mtu angalau uwe na bastola thn umezindikwa kutoka nigeria...maana jamaa akija na mashine na we unayo akitaka unate anashangaa unatoka unasepa...tofaut na ivo mwache tu mke wa mtu
 
Hii kitu ilishawahi nitokea na nikamuweka wazi kuwa sitotembea naye tena sababu keshaolewa...uzuri alikubari kwa shingo upande na mimi nilikata mawasiliano kabisa...hadi aanze yeye na mimi ni vipufisho tu... ila vizinga na mabomu makubwa hajaacha dah... na nikiuchuna nalalamikiwa hadi naona niondoe kadhia nampa huku roho ikidunda iwapo huyo mumewe akielewa hiki na kile kapata kutoka kwangu... nashukuru sikuenda kwenye harusi yake... mumewe hanifahamu kabisa... ila ndugu ujue huyo si adui yako tena huyo... m treat kama ndugu yako hata akipatwa na shida za kibinadamu msaidie tu hata nusu yake...
 
Kumgegeda mke wa mtu angalau uwe na bastola thn umezindikwa kutoka nigeria...maana jamaa akija na mashine na we unayo akitaka unate anashangaa unatoka unasepa...tofaut na ivo mwache tu mke wa mtu

ndo unavyofanyaga eh
 
mwache kaka usije chukuliwa na mguu wa kuku.....mke wa mtu sumu!!!!!
 
Tunakimbilia kumshambulia huyu, ila hatuoni msingi wa tatzo kwamba yule dada kadai mme nae yupo busy na chatn na wake wengne, kwa hyo kwa vle mdada hawez tongoza as men do anaamua kutafuta furaha kwa aliekuwa x wake na jamaa atawezaje kumpuuza mtu mwenye moyo mpweke, au wengne hamnaga huruma?
 
Alikuwa mpenzi wangu zamani kwa sasa ameshaolewa lakini anazidi kunifuatilia ili tuendelee kimahusiano, mimi sitaki lakini anaendelea kunipigia simu na sms akinambia share yangu bado ipo kwake. Imefikia hatua ananitext hadi usiku nikimuuliza kwa nini anafanya hivyo wakati ana mume ananijibu ameona mumewe naye anachat na watu. Nifanyeje kuepukana naye? Amekuwa ni king'ang'anizi!

Fanya juu chini pata namba ya simu ya mumewe halafu mtumie na mwambie kuwa akikusumbua utamwambia mumewe. Ukiendekeza mawasiliano utakuwa unapalilia kifo.
 
kwahio anakutumia wewe kama revenge amlipize mumewe sio…Mpige marufuku kukupigia sim na kukutumia sms mwambie una mchumba…Ikiwezekana mpe sim mwanamke siku apokee ajifanye mchumbaako kama huna mtu!!
 
Alikuwa mpenzi wangu zamani kwa sasa ameshaolewa lakini anazidi kunifuatilia ili tuendelee kimahusiano, mimi sitaki lakini anaendelea kunipigia simu na sms akinambia share yangu bado ipo kwake. Imefikia hatua ananitext hadi usiku nikimuuliza kwa nini anafanya hivyo wakati ana mume ananijibu ameona mumewe naye anachat na watu. Nifanyeje kuepukana naye? Amekuwa ni king'ang'anizi!

Kama. Tigo yako ipo fresh basi endelea nae mke wa mtu
 
mambo mengine cy0 ya kuyaleta huku!" ni ku2mia 2 almashaur yak0 y ubongo, .......... kwani hujui ma2miz y BLACK LIST kwenye simu yako. by the way n2mie hizo namba zake nikusaidie kumtafuna.
 
afu mleta mada mbona unazingua aisee life isnt twice pigaaaaaaaa acha uwoga kufumaniwa hakuna michepuko dili njia kuu we treni
 
The best waya ni kuwa kimya,akitext usimjibu,akikupigia usipokee,,,,atanyamaza tu,it happened to me nilitumia njia hii,ndan ya mwez kwenye ndoa anaanza kusumbuasumbua ila nilikua sijibu her text na sim zake sizipokei,naona mwez unakatika sasa yupo kimya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom