Alishaolewa lakini anazidi kunitaka nimkwepeje?

Alishaolewa lakini anazidi kunitaka nimkwepeje?

Naona umechoka kula sembe wewe unaambiwa mke wa mtu sumuuuuuuuu tena hata india hawawezi kuineutralize shauri yako. Kuna mahala niliona pameandikwa aziniye na mwanamke hana akili hata kidogo
 
Alikuwa mpenzi wangu zamani kwa sasa ameshaolewa lakini anazidi kunifuatilia ili tuendelee kimahusiano, mimi sitaki lakini anaendelea kunipigia simu na sms akinambia share yangu bado ipo kwake. Imefikia hatua ananitext hadi usiku nikimuuliza kwa nini anafanya hivyo wakati ana mume ananijibu ameona mumewe naye anachat na watu. Nifanyeje kuepukana naye? Amekuwa ni king'ang'anizi!

Mcharuko katika mchepuko.
 
si ni ili akuache tu?? akikutext usijibu chochote,akipiga pokea mtell huna salio,yani wewe jifanye maskini kuanzia ss,we unakuwa kisingizio chako sina crdt,akiendelea anza kumwomba hella ndefu ili asepe,mfano 70,100,-200,ukiona haitoshi mwonyeshe una demu, itamwuzi ataachia ngazi,zaidi subir jamaa wanakuja wataongezea!

Mkuu upo vizuri. Hii huitwa mpango wa kimkakati.
 
Fanya juu chini pata namba ya simu ya mumewe halafu mtumie na mwambie kuwa akikusumbua utamwambia mumewe. Ukiendekeza mawasiliano utakuwa unapalilia kifo.
Nikimwambia mumewe naweza kusababisha ndoa yao kuvunjika au ugomvi mkubwa!
 
kwahio anakutumia wewe kama revenge amlipize mumewe sio…Mpige marufuku kukupigia sim na kukutumia sms mwambie una mchumba…Ikiwezekana mpe sim mwanamke siku apokee ajifanye mchumbaako kama huna mtu!!
Mke ninaye hata ye anajua lakini bado king'ang'anizi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom