Alishaolewa lakini anazidi kunitaka nimkwepeje?

Kama. Tigo yako ipo fresh basi endelea nae mke wa mtu
Nadhani hujaelewa vizuri mada hii. Mimi sipo naye na wala siendelei naye ila yeye ndo ananitafuta, zamani alikuwa mpenzi wangu baadaye akaolewa. Mimi pia nina mke.
 
Akipiga ucpokee,akitxt ucjibu mwisho atachoka mwenyewe huyo mwana izaya asiejua vibaya,mtu asie na haya,asijekupa miwaya,ukaja kufa vibaya
Alikuwa mpenzi wangu zamani kwa sasa ameshaolewa lakini anazidi kunifuatilia ili tuendelee kimahusiano, mimi sitaki lakini anaendelea kunipigia simu na sms akinambia share yangu bado ipo kwake. Imefikia hatua ananitext hadi usiku nikimuuliza kwa nini anafanya hivyo wakati ana mume ananijibu ameona mumewe naye anachat na watu. Nifanyeje kuepukana naye? Amekuwa ni king'ang'anizi!
 
pole kwa masahibu unayoyapata bestito
cha kufanya mwambie ukweli kuwa wewe huwezi haribu ndoa ya watu
kwani ndoa iliwekwa na KWA MPANGO WA MUNGU hivyo si busara
kutenganisha wala kuharibu ndoa ya huyo mdada naona hapo ni majaribu
besti na kuyashinda ni kumwambia ukweli kuwa asipende kumcheat mume
wake hata kama anaona mumewe amemcheat yeye ni mwanamke ni vyema
atulie kwenye ndoa yake na sio kufanya hivyo, ukiona asikiii hilo basi cha
kufanya mchukulie RB polisi na mshtaki kwani ni kosa la jinai kumbughudhi mwenzio
halafu niiite mm nitakuwa wakili wako.

Nashukuru kwa ushauri wako, nitaufanyia kazi.
 
Fanya utakavyofanya ila hakikisha usitembee na mke wa mtu,achana nae kaa mbali kabisa.
 
Kirahisi rahisi hivo....
Kwani kwako inatake how long? and how much hadi kufikia target zako ndipo umuambie man now you can try to satisfied me...

Hivi kwenu mahali anapokea nani?
 
Real man huwa haambiwi wala kupewa muongozo wa kumsatisfy mwanamke
unataka unitolee mahari?
 
Alikuwa mpenzi wangu zamani kwa sasa ameshaolewa lakini anazidi kunifuatilia ili tuendelee kimahusiano, mimi sitaki lakini anaendelea kunipigia simu na sms akinambia share yangu bado ipo kwake. Imefikia hatua ananitext hadi usiku nikimuuliza kwa nini anafanya hivyo wakati ana mume ananijibu ameona mumewe naye anachat na watu. Nifanyeje kuepukana naye? Amekuwa ni king'ang'anizi!

huyu akili ndogo atakuponza mumewe akufanye kitu mbaya.......

mblock namba yake au badili namba........
 
Mke wa mtu sumu wewe. Kwa nini usiache kuwasiliana naye?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom