Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,418
- 54,861
Ntaenda wapi mie jf ndo home,
hapa ndo nakula na kulala....
amakwel
Ntaenda wapi mie jf ndo home,
hapa ndo nakula na kulala....
Ulimpata charminglady?
Shindwa kwa jina lako!!
Nikimwambia mumewe naweza kusababisha ndoa yao kuvunjika au ugomvi mkubwa!
Hatukuachana kwa shari, kuna jamaa alikuwaga naye zamani walipotezana na walipokutana akamwambia anataka kwenda kutoa posa wafunge ndoa. Aliponitaarifu nikamwambia aendelee maana mi bado niponipo kwanza. Walipofunga ndoa nami nikaoa mke niliyezaa naye kabla. Sasa ananifatilia ile mbaya. Sijui haridhishwi huko au ni usumbufu tu!Je hadi anaolewa wewe uliachana nae kwa mazingira yepi?
Isije kuwa aliolewa kwa kunishinikizwa au kwasababu ya tamaa.
Pamoja na kuwa yeye ni king'ang'anizi kama utakua na msimamo nina uhakika hatokusumbua, cha kufanya wewe onyesha msimamo kuwa huna mpango nae tena
Inasemekana mke wa mtu sumu halafu mi sina ng'ombe wa maziwa japo hata ng'ombe akila sumu naye anakufa ingawa anayo maziwa.
Mtu ambae huwa anaomba ushauri jinsi ya kimkwepa mtu
mi huwa naona ni sanifu tu, nyuma ya keyboard unabandua zako
mi nakushauri endelea kumbandua....
Nisibanduliwe kwani mi jiwe...Wew unabanduliwa?