Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,719
Hapa niko msibani hapa mbezi kuna mtu alishkwa ugoni akapgwa risasi. We rukaruka tu uje uone
ha ha uoga wako ndiyo umaskini wako.....inzi kufia kwenye kidonda siyo inshu......lkn ukiliwa tigo utupe ripoti
What is this?
Ndo na mimi nataka kumuonesha kuwa ckupendezwa na dharau zake
Ndo na mimi nataka kumuonesha kuwa ckupendezwa na dharau zake
Brother usitembee bila Ky mfukoni.
Jamani mbona mnaanza kunitishia sasa, hivi mnafikiri kufumuliwa jicho huwa ni kiwepesi wepesi tu
Galadudu=GOGLE
Hivi unadhani ni rahisi sana mimi kuliwa samvu la kopo
hahahahahaaa, nasubiri part 3. Kahadithi katamu.