Aliponiona si akanikumbuka

Aliponiona si akanikumbuka

Hivi ni kweli jamaa anakudharau au wewe tu unajishtukia?Ila ana mkwara balaa,ulivyoona 45.m caliber,bamia ikasinyaa!
 
Kama inavyofahamika kwa sisi watanzania wengi ukiwa oficn ikafika mida ya lunch utaenda kula lakin lazima ushushie vibia viwili, sasa nna ka chupa kangu mezani mara nikashangaa muhudumu naongezwa bia nyingine wakati hata cjaagiza.

mh mlioko maofisini ni kweli haya ndio yanayofanyika?

Wapo wajingga wachache kama hao na akirud ofisini mwendo facebook mpaka jioni. Kesho anaenda tena kuvizia wake za watu mida ya misosi ndo maisha ya vijana wa sasa.hawafanyi kazi lkn wanataka pesa za starehe ndo maana mashoga wanazidi kuongezeka kila siku.
 
Umenifurahisha sana kwamba tulioko maofisini tunapiga lunch na bia mbili tatu
 
Huyo jamaa kama aliku refund, bac ni mtu mkarimu sana. Ila kitu ambacho hapendi ni compeee'.. Uclete compe kwa manzi wake asee! Embu nitumie link ya part one. Hiyo muvi niliikosa mkuu!
 
mhhh miye sipo nasubiri kuambiwa wodi namba ngapi ntakuja na hotpot langu la chuma limejaa makande usiniulize mgonjwa ni nani!
 
Hivi ni kweli jamaa anakudharau au wewe tu unajishtukia?Ila ana mkwara balaa,ulivyoona 45.m caliber,bamia ikasinyaa!

Mkuu hicho ni chombo kidogo sana ni bora ukione tu hivyo lakin usiombe kuwekwa chini ya ulinzi wa hako ka dude
 
Wapo wajingga wachache kama hao na akirud ofisini mwendo facebook mpaka jioni. Kesho anaenda tena kuvizia wake za watu mida ya misosi ndo maisha ya vijana wa sasa.hawafanyi kazi lkn wanataka pesa za starehe ndo maana mashoga wanazidi kuongezeka kila siku.

Mkuu cjakuelewa unachotaka kuzungumzia hapo
 
Ningekuwa ni mimi, nisingejisogeza pale walipokaa bali ningemuonesha ishara huyo demu aelekee chooni alafu nikamfata huko nikamgegeda kamoja kakuleta heshima ndo nikachukua namba...kwani nina muda wa kupoteza mie!!
 
Ningekuwa ni mimi, nisingejisogeza pale walipokaa bali ningemuonesha ishara huyo demu aelekee chooni alafu nikamfata huko nikamgegeda kamoja kakuleta heshima ndo nikachukua namba...kwani nina muda wa kupoteza mie!!

Dah we kwel ni noma sana
 
Mhh! Inaonekana kwako kuna panya wa kutosha. Ndo maana unmtaka me wa mtu....ambaye ni sumu.
 
Kwa hilo hapana
k
ufa kwa Bastola hutaki
Je kuliwa kiboga km jamaa wa Mwananyamala?
Demu achana naye, kwa jinsi jamaa yake alivyo na kibamia naww una Mndingo wa haja Bibi atakuhamishia chumbani kwao
 
Jf is never boring😄😄😄😄😄😄😄
 
Ukipiga simu kumbuka shati lilivochomoka uliona nn. Kumbuka hiyo sio ya manati ya kuwinduia ndege(jorowe)
 
Jaman yule dada ambaye nilimlipia nauli kwenye daladala jumapili iliyopita halafu akanipeleka kwa mume wake akaenda kunirudishia, jana tumeonana tena.

Kama inavyofahamika kwa sisi watanzania wengi ukiwa ofisini ikafika mida ya lunch utaenda kula lakini lazima ushushie vibia viwili, sasa nina ka chupa kangu mezani mara nikashangaa mhudumu naongezwa bia nyingine wakati hata sijaagiza.

Mhudumu akaniambia, umeagiziwa na yule mdada, nilipogeuka kuangalia, lahaula" nikakutana na tabasamu kali la yule mrembo, nikampungia tu mkono, huku moyoni nikiamini kwamba hapa sio bure, kukutanishwa nae tena huyu kiumbe.

Na yule jamaa yake aliyenipa ile sh elfu 5 alikuwepo, kwa kuonesha uungwana ili nizidi kumchanganya nikaamua kuinuka kwenda kumsalimia, nilipofika kwanza kabisa jamaa hakuonekana kutambua uwepo wangu pale (dharau hizo) baada ya salamu sasa kilichofuata.

Mdada akanitambulisha kwa yule mshamba, unamkumbuka huyu mkaka jamaa akaniangalia juu mpaka chini halafu akatikisa kichwa kwa dharau kuwa hanifahamu, mrembo akasema huyu si ndo alinilipia nauli siku ile kwenye daladala, nikaja nae ukampa sh elfu 5.

Jamaa likauliza kwa kashfa sana, kwa hiyo na leo kaja nimpe elfu 5 nyingine.

Sio siri nilikasirika vibaya sana hadi nikajiuliza sijui nimfumue ngumi kalikali za kushtukiza huku nikichombeza kwa vipepsi vya hapa na pale, lakini kabla sijatimiza azma yangu hiyo, jamaa akainuka kwenda toilet, shati lake likajivuta kidogo, nikaiona bastola imetulia kiunoni, nikajua kumbe ndo maana ana dharau sana, hapo nikawa mpole.

Jamaa lilipoondoka demu akaniambia, huyu nae huwa ana mawivu ya kijinga sana, akatoa simu yake fasta akanipa nikawa nishajua cha kufanya muda huo, nikaweka namba zangu, akasema tutawasiliana, nikamalizia bia yangu nikaondoka, lakini bado najiuliza sana kwa upuuzi wa yule mshamba hivi nikimpigia demu wake nitakuwa na makosa kweli, namba ndo tayari nimempa nasubiri tu kitakachotokea nitaleta mrejesho hapa.

we ukimpiga mke wake kwa risasi za maji... jamaa atakupga kwa risasi za moto..... u have been warned kwa ile dharau
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom