Huyu vp
Hapa mwili mzima ganzi
Nadhan jamaa ailifia hewen hahaha
Kweli lakiniNi muujiza tu ndio utamuokoa
Kama ni Sterling atapona tu ila kama ni jambazi lazima a dead...
Lazima aliadjust parachuti akarudi angani etiNi muujiza tu ndio utamuokoa
Kuna picha ya James Bond niliiona kitu kama miaka mitano iliopita, Bond walimtelekeza kwenye kisehemu kina Mamba, Bond akaonyeshwa mfano kwanza kikachukuliwa kipande cha nyama mbichi kikatupiwa kwenye bwawa Mamba wakawa wanakigombania, baada ya hapo wakaondoka wakamwacha Bond, unajua kilichotokea ni nini?Kama ni Sterling atapona tu ila kama ni jambazi lazima a dead...