Kuna picha ya James Bond niliiona kitu kama miaka mitano iliopita, Bond walimtelekeza kwenye kisehemu kina Mamba, Bond akaonyeshwa mfano kwanza kikachukuliwa kipande cha nyama mbichi kikatupiwa kwenye bwawa Mamba wakawa wanakigombania, baada ya hapo wakaondoka wakamwacha Bond, unajua kilichotokea ni nini?
Bond alichukua vile vipande vya nyama mbichi vilivyobakia akawatupia Mamba kisha yeye akawa anatambuka bwawa juu ya migongo ya Mamba.
Labda mkuu MO11 alitumia mbinu ya Bond ndio maana tupo nae hadi hivi sasa
Weweeeeee, pamoja mkuuAngalia sasa ile nimedumbukia tu wakaja mamba kama 20 wakanizunguka si unajua mi ni ninja nikazamia chini ile kuibuka nipo juu ya mgongo wa mamba nikamshika mgongo nikamuongoza kama farasi hadi nje ya bwawa
kuna movie moja ya jimmy carey alipigana na mamba hadi ikaanza kukimbilia nchi kavu. akaikamata mkia na kuirudisha kwenye maji huku akisema ''usianzishe kitu kama huwezi kumaliza"Kuna picha ya James Bond niliiona kitu kama miaka mitano iliopita, Bond walimtelekeza kwenye kisehemu kina Mamba, Bond akaonyeshwa mfano kwanza kikachukuliwa kipande cha nyama mbichi kikatupiwa kwenye bwawa Mamba wakawa wanakigombania, baada ya hapo wakaondoka wakamwacha Bond, unajua kilichotokea ni nini?
Bond alichukua vile vipande vya nyama mbichi vilivyobakia akawatupia Mamba kisha yeye akawa anatambuka bwawa juu ya migongo ya Mamba.
Labda mkuu MO11 alitumia mbinu ya Bond ndio maana tupo nae hadi hivi sasa
Hiyo nayo alimpatia, Mamba amesalimu amri!kuna movie moja ya jimmy carey alipigana na mamba hadi ikaanza kukimbilia nchi kavu. akaikamata mkia na kuirudisha kwenye maji huku akisema ''usianzishe kitu kama huwezi kumaliza"
inaitwa bon ventura pet detective 2.Hiyo nayo alimpatia, Mamba amesalimu amri!
Nisaidie jina la filamu niitafute
Asante sana mkuu, nitaitafutainaitwa bon ventura pet detective 2.