Alipewa kitengo cha kutuma SMS kuhusu uchaguzi anafanya kweli ila raia hatuna mpango huo wa uchaguzi

Ukiwasha TV unakutana matangazo umchague mwenyekiti wa ccm, radio hivyo hivyo.
Huyu mazeri anahangaika sana mpk kero, sasa hapo hana mgombea wa upinzani yupo peke yake. Angekuwepo sasa? Kodi za wananchi zinatumika vibaya sana
Ndo tushangae unashindana na hewa maana hupo mwenyewe na sisi hatumtaki
 
Ndo tushangae unashindana na hewa maana hupo mwenyewe na sisi hatumtaki
Kuna mkoa mmoja hivi, boda boda na bajaji kipindi anakuja mwenyekiti, walikuwa wanazunguka mitaani kupeperusha bendera za kijani.
Jioni bodaboda walikuwa zaidi ya 200, wote walipewa 20,000 cash hapo bado bajaji. Huyu mazeri katoa baiskeli, pikipiki na nguo. Kodi inatumika vibaya
 
Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba, 2025 kumchagua Rais, Mbunge na Diwani. Kura yako haki yako.

Hizi sms zao watumiane wao uchaguzi gani? situmeshasema hakuna uchaguzi sasa hizi sms za nini??
Niende kuchagua nani ? na ili iweje sasa

..wagombea, wasimamizi, na mawakala, wakapige kura.

..wengine wote endeleeni na ratiba binafsi siku ya uchaguzi.
 
Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba, 2025 kumchagua Rais, Mbunge na Diwani. Kura yako haki yako.

Hizi sms zao watumiane wao uchaguzi gani? situmeshasema hakuna uchaguzi sasa hizi sms za nini??
Niende kuchagua nani ? na ili iweje sasa
Piga block kila sms
 
Sasa hivi wameacha za takukuru wameanza za uchaguzi hivi hamna namna ya kublock hizi msg zisiingie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…