kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,244
Mwaka huu officially nitapewa zawadi ya kuwa mtoa ushauri wa mwaka. Kwa jinsi ya ongozeko la matatizo katika mahusiano na kuweza kuwatatulia matatizo yao. Mwezi huu tu wa January nimetatua matatizo ya mahusiano 10 na yapo powa kabisa. Binafsi ninaogopa na nina wasiwasi zawaidi itakuja kwangu tu.
Moja ya cases inawahusu Clemence na Pendo (Siyo majina yao ya ukweli). Walikutana, wakaanza kama marafiki, wiki kupita Clemence akamwambimbia jinsi gani anamzimikia. Pendo kama mjuavyo wasichana akawa ajaelewa somo kwa haraka. Baada ya shinikizo kubwa miezi mitatu Pendo alimkubali Clemence. Kama mjuavyo sex ikatake place, Pendo akapata mimba. Pendo alikubali kutunza mimba ila Clemece ni mwanafunzi wa mwaka wa Mwisho Udom akuwa tayari akamwambia Pendo atoe mimba. Pendo ikafikia sehemu akakubali na kutoa mimba.
Wiki 4 baada ya kutoa mimba penzi la Clemence kwa Pendo lilifia na kuwa baridi. Alimpata msichana mwingine na peupe bila ya kupepesa macho akamwambia Pendo it is over. Pendo aliumia sana deep kabisa ya moyo wake, akuwa tayari kuiachia nafasi yake kwa msichana mwingine. Aliendelea kumtembelea Clemence akitumaini labda atabadilika, mambo yakaendelea kuwa mabaya kila kukicha. Pamoja na kuwa alikuwa akimuona msichana mwingine na Clemence akujali hilo.
Kwa upande wangu,
Kwa kweli sikumuelewa Pendo, Ni mpumbafu? Au ana moyo wa kupenda sana? Au unafikiri kulazimisha kwake mwisho wa siku kutamlipa? Je unafikira alitakiwa apate mwanaume sahihi kwake?
Ndugu zangu wana MMU, ushauri gani ungempatia msichana huyu?