Alipata mimba, ametoa kisha akaachwaa.

Alipata mimba, ametoa kisha akaachwaa.

Pendo amekosa tu kujitambua na kujiamini. Ukiwa kama mshauri wake msaidie ajitambue kuwa Clement hamfai, hastahili kuwa naye na sie wa hadhi yake kimaadili na hata kimapenzi. Kitendo cha Clement kumshauri tu kuitoa ile mimba ilikuwa ni dalili tosha kuwa Clement hakuwa amedhamiria kuishi naye kama mpenzi wake. Mwanaume mwenye mapenzi ya kweli na nia angemwambia imeshatokea, twende kwa wazazi tukaji'shtaki', tuombe msamaha tupewe Baraka ya kuwa mwili mmoja tulee mwanetu. Lakini kwa kuwa Clement hakuwa amempenda kwa dhati ndio maana alimwambia akaitoe. Pili mwambie Pendo kuwa yeye ana bahati kuwa MUNGU amemwonyesha mapema kuwa Clement siye, ingekuwa vipi kama angeolewa naye kasha Clement akamletea mwanamke mwingine ndani na kuanza kuishi naye? Au angemtesa kimapenzi? Mwisho mwambie Pendo aamke Clement siyo wake, wake yupo na anavyozidi kumfuata Clement ndivyo Clement anavyozidi kumdharau na anaweza hata kumtake for his advantage ili tu ajifurahishe. Na pia kwa kumfuata fuata Clement na kulilia asipopendwa hajitendei haki yeye na nafsi yake. Mdedicatie wimbo wa Serebuka wa Mwasiti

dada mkubwa huu ushauri murua kabisa. pendo amtoe clement akilini. yaliyopita yamepita na agange yajayo.
 
pendo kama lilivyo jina ana mapenzi ya dhati hata shetani anamuogopa !!lakini daah............kapanua kaachia kirahisi
 
aendelee na maisha yake bila mshikaji lakini asisahau somo kutokana na hilo tukio kwani maji yashamwagika na hayazoleki. jamaa alitaka pa kupunguzia ny-ge zake tu
 
Kwa vijana walio wengi mahusiano yao wakiwa mashuleni na vyuoni ni ya kupotezeana muda tuu hivyo binafsi sishangai kuona kijana akiwa kaachwa au katendwa kwa kuwa kwa age na mazingira waliyonayo ya shule na utegemezi wa kifedha na kimaisha kwa wazazi na walezi hakuna serious commitment.

Ushauri kwa mabinti na vijana wa kiume ni kuwa makini sana kwa mahusiano hasa vyuoni na kwa watu ambao hawajathubutu au bado wako katika utegemezi kimaisha kwa kuwa hawajui maisha na nini wanakifanya kwa wakati huo.
 
Duh pole sana pendo hata asingetoa mimba huyo mwanaume angemwacha tu.
 
Ila mwisho wa siku sie wanawake ndio huwa tunaishia kuwa victims.........

Ni bora kujua nini unataka katika maisha

sanaa...ni bora ukajilinda mapema,like kuhakikisha hamfanyi had avae condom and the like,vngnevyo u'single mother njenje
 
Hapana! Aiwezi kumlipa.

Ndio anastaili mwanaume mwingine mwenye kuishi na mwanamke kwa busara na hekima.

Hilo
ni somo kwake, alipo anguka asimame, apanguse vumbi maisha yaendelee.
 
Hao ninao kueleza ni wale ambao wameshamaliza form 6 na wengine wapo vyuo vikuu, Tatizo lenu haswa kwa watu ambao hawakusoma masomo ya science 0-level hampendi kusoma biolojia ndilp tatizo kubwa kwenu, unakuta mkiulizwa hata maswali marahisi tu mnashindwa lakini kila simu za google na kuangalia ngono na mambo ya udaku mnazo. Mnadhani hapo nani alaumiwe mwanaume?

unahisi kwanini mabinti waliosoma kuanzia 2008 hawajui? ni elimu haitolewi ipasavyo au ni uvivu wa kufatilia haya mambo? hivi lakini kama unatoka na kitoto cha secondary unashindwaje kuwa mwongozo wake? mnawaza kuto.mba tu na kuchapa lapa???
 
Kwa hiyo umeleta hilo tatizo huku,tukushauri ili nawe ukawashauri then uje hapa kujisifu, sindio?
 
Kwa hiyo umeleta hilo tatizo huku,tukushauri ili nawe ukawashauri then uje hapa kujisifu, sindio?

@Masterproud unalikana jina lako, Kuna mtu asiyependa sifa? wa wapi wewe!!!!!!!

Hao ninao kueleza ni wale ambao wameshamaliza form 6 na wengine wapo vyuo vikuu, Tatizo lenu haswa kwa watu ambao hawakusoma masomo ya science 0-level hampendi kusoma biolojia ndilp tatizo kubwa kwenu, unakuta mkiulizwa hata maswali marahisi tu mnashindwa lakini kila simu za google na kuangalia ngono na mambo ya udaku mnazo. Mnadhani hapo nani alaumiwe mwanaume?

wewe ukome, nitoe huko kabisaa. ukome tena.
 
Mie nilipiga mimba mke wangu b4 marriage. Nakumbuka nilimshauri kuitoa akagoma kata kata. Hakuwa tayari kuua just kutunza heshima kwa wazazi wetu. Kitendo cha yeye kutoafik kutoa mimba, ilikuwa ni ishara ya upendo wake kwangu. Nilimpokea kwa Mikono miwili, tukatunza ujauzito hadi akajifungua. Ndipo nikajisalimisha, nikapigwa fain, nikalipa na kulipa mahali na nikafunga naye ndoa.

Mwanamke anayekubali kutoa mimba, ni mwuuaji, siku ukimkera hata wewe atakuua tu. Hana huruma
 
Ujumbe wako mkali sana ntamaholo, sijui humu JF wauwaji wa namna hii wako wangapi???? Maana kila kukicha vizaigoti vinanyofolewa kama nini sijui!!!!

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom