msimamo wa aina hii kwa kiumbe jinsia ya kike ni hatari kwa maisha ya kimahusiano ningewafumba wasiuone mabinti wooote, Narudia tena ni hatari na haufai.Kwanza niseme tu kwamba huyo dada bado unampenda ndio maana roho inakuuma mpaka baada ya miaka minne.....
Umpe adhabu ya nini? Alipoondoka aliondoka na dushe yako?? It is a free country....kuwa na mpenzi haimaanishi kwamba unamiliki moyo wake. Ana haki ya kufanya maamuzi yanayohusu maisha yake binafsi....humtaki mwsmbie tu kwamba sikutaki.
4 years away alikua ameweka plasta kwenye papuchi au ndo alikua anagawa kwa kila rika..?? angalia kijana asije akawa
ndo yeye anakuja kulipa kisasi kesho kutwa tukakuzika na kilo 5 narobo..halaf unachowaza sio ujanja!!!
Is this some kind of a threat?Before you embark on a Journey of Revenge dig two Graves..
Hio quotation ina maana kwamba mara nyingi kama sio zote ukilipiza kisasi mwisho wa siku unajiumiza wewe na muhusika pia
Asante kwa angalizo. By the way,Sasa visasi vya nini mkuu? kwanza kwenye story yako umesema kwamba ''hukutaka wala kuhitaji sana malumbano na kwa roho safi uliachia behewa likatike'' Mpotezee tu, na sio ajabu yeye ndo anakuja kukumaliza sasa
Kiumbe wa jinsia ya kike akishakujua kuwa wewe ni wa kusamehe, hukuchukulia poa kila kitu na ujitaarishe kugeuzwa bushoke.Mjasiria nakubaliana na wewe sana Lakini pia Dalalitz kama unataka kumhukumu je, umejiuliza nikwakiasi gani UMEKUA UKIMKOSEA MINGU WAKO?kama ukijitathmini basi Mungu atakupa baraka na reheme zake kwakua hukumu anayo Mungu..
sikushauri urudiane au usirudiane nae lakini nakusihi usimhukumu bali Muombe Mungu akusaidie ushinde vishawishi.
Okay, nimekuelewa. Asante kwa busara zako.Kikatae kikombe hicho cha kumuadhibu; Kumbuka Kiendacho hurudi; ni lazima yatamsibu makubwa huko mbeleni pasi na wewe kuhusika na kwa hiyo utakuwa umekwepa dhambi ya kulipiza kisasi. forgive but do not forget; hilo ni darasa kubwa sana kwako; pole sana
1.Lengo ni kufanya ajifunze kupitia mimi na asije akathubutu kufanya kama alivyonifanyia mimi, Labda nikuulize nawe hapohapo Kumbe, atajuaje kuwa alikosea-Kwa msisitizo?Alikuumiza unataka kumuadhibu?
Is this some kind of a threat?
Nuh, I ain't gonna get scared easily, For i know wattam up to.
Aliekuacha kwa sababu akirudi lazima kuwe na sababu, Kwangu mimi huo ndio uanamume na kumfunza ni jukumu langu kwanini nisingemvamia kipindi yuko kivyake? Pili,Kuwa tayari kwangu sawa, Vipi kuhusu vijineno vyake vya ukakasi?Kwani...kuna tatizo gani mtu akidhani kuwa wewe sio chaguo muafaka kwa sasa, lakini baadae akaona unafaa?! Hukuwa tayari wakati yeye yuko tayari, mkaachana kwa ridhaa za wote wawili, hata kama mioyo iliuma...sasa hivi ameona muda muafaka kurudi...amua moja, unamtaka bado rudianeni..humtaki muambie uachane naye. Adhabu kwa nini alichokosa!? Ni wewe hukuwa tayari...si yeye!
Brrrrrr, Shosti yako atanieleza tu. Hata usemeje.Wew ni nani kumuadhibu mwenzako...tena hio ni one sided story vip unajua na yeye ni yap ulimtendea ukamuumiza???inashangaza jins tunavyojifanya malaika na kuona makosa ya wengine......kama kwel alikuumiza Mungu ndo atadeal nae sio wew
kwa experience yangu
hakuna adhabu nzuri kama moving on na kumpuuzia mtu
ukishindwa kumpuuzia inamaanisha utamchukia na kumchukia ina maana yupo akilini kwako like it or not
kama una uwezo wa kukaa nae mbali fanya hivyo
unaeza sema unaenda cha mwisho unajikuta mwenzio kajipanga huchomoki
Sasa wewe umeamua kunichekesha tu ndugu haya lakini nimekusikia.Mnapo ingia kwenye mahusiano mnatakiwa kujua kuna kufurahi na kuumia!
Matarajio yako yalikuwa makubwa maka vile uliweka ahadi na malaika kumbe binadamu!
Kwa maandishi yako hapo mwisho unaonesha huja ujakomaa vilivyo na unatakiwa kuumizwa kama Mara mbili tena na wala hutafukiria kulipiza kisasi bali utachukulia ni part ya mahusiano!
Na kushauri umpe adhabu ya kumpuuza,ina mtosha maana unatakiwa kujiuliza utatoa adhabu kwa wangapi? na utaumiza wangapi?umejuaje kama huto umizwa tena?
Kama unaogopa vita achana na kazi ya uanajeshi!
Kumbe sijamtolea mahari anajisogeza nini tena kwangu ilhali alishasonga mbele?Umpe adabu kwani ulimtolea Mahari au posa labda ulikuwa unamkopa kwenye mgegendo acha hasira sasa wa nini kurudia matapishi uliotapika songa mbele
I can smell a scent of truth in your wisdom (semantically) .Not a threat just a fact of life..., revenge is not always one sided.., nadhani ni bora ufuate another fact of life..
"If you wait by the river long enough, you will see the bodies of your enemy float by.."
Ikimaanisha sometimes hakuna sababu ya kuangaika kuwamaliza maadui/waliokutenda ukiwaacha soon or later watatendana wenyewe kwa wenyewe au mwingine atamtenda...