Veronica7598
JF-Expert Member
- Jan 2, 2017
- 361
- 409
Mkuu nakuona mjanja kumbe muoga hivyooomkuu pole sana..
hata mimi kuna kitu huwa kinanisumbua kichwa
>huwa napenda niwe na
familia baadae
>lakini naogopa sana
kuoa
maana visa vya ndoa au mahusiano kwa ujumla huwa ni tishio kwa kweli maana kila nikijaribu kugeuza visa vya wenzangu viwe vyangu huwa napata uwoga sana wa kuthubu hata kujaribu.
Uwiiiii!! Yaani sikipendi hicho kitu acha kabisa. Naijazaga huku nimenuna utadhani nimeshikiwa bunduki.
