Alinimbia eti mwanamke halazimishwi, sasa naye yamemkuta

Kizoda

Senior Member
Mar 5, 2022
130
296
Kuna watu wana vituko kabisa. Yaani Kuna Jamaa mmoja tulikutane naye hapa Hapa JF baada ya kuomba msaada jinsi gani Ninaweza kurudisha ex wangu. Jamaa alinifata inbox kunipa ushauri eti mwanamke halazimishwi. Eti achana naye

Dah nikaona Huyu Jamaa anafaa saana kuwa rafiki yangu Kweli tulikwenda mpaka Whatsapp tukawa marafiki. Cha ajabu Jamaa siku hizi ananiomba ushauri eti yeye Na mpenzi wake mausiano yamepata pacha Sasa Jamaa anajaribu kulazimisha mtoto eti mtoto arudi lakini demu kagoma ndo nimekuja kutambua dah Kuna watu ambao wanajiamini mbele za watu ila wakiwa ndani wanalia kama watoto wadogo.

I'm sorry ndugu yangu sijataja jina lako HAPA ila najua upo nataka hii iwe Funzo kwa wengine mapenzi yanauma bwana.
 
😅😅😅mapenzi hatar sana we acha eti kumove on

Kuna jamaa kipind tuko chuo mwaka wa tatu alisikia demu wake kaolewa maana alikuwa mtaani jmaa tulimkandia nachat nae ananitumia viemojs vya kucheka kwamba hana mpango nae eti nishamove on

Wiki kadhaa mbele watu wamevunja mlango alikuwa anataka kujinyonga usia kashaandika yule demu ndo tatizo kwa nn amuache
 
mapenzi hatar sana we acha eti kumove on

Hahaahhahaahah
 
Kweli mwanawane hizi keyboard zina ujinga mwingi. Ata mie hapa nawapa ushauri ah wee pisi kali tomber tupa kule...ila sasa kuna kapisi kakali hako kana nipelekesha kama mtoto mdogo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
kundi la wanaume ukiwemo tumeisha

Umbea waachia wanawake
Mwanaume unakuaje mnafiki
Aisee nmeshamngaaa sana
images-514.jpg
 
Kuna watu wana vituko kabisa. Yaani Kuna Jamaa mmoja tulikutane naye hapa Hapa JF baada ya kuomba msaada jinsi gani Ninaweza kurudisha ex wangu. Jamaa alinifata inbox kunipa ushauri eti mwanamke halazimishwi. Eti achana naye

Dah nikaona Huyu Jamaa anafaa saana kuwa rafiki yangu Kweli tulikwenda mpaka Whatsapp tukawa marafiki. Cha ajabu Jamaa siku hizi ananiomba ushauri eti yeye Na mpenzi wake mausiano yamepata pacha Sasa Jamaa anajaribu kulazimisha mtoto eti mtoto arudi lakini demu kagoma ndo nimekuja kutambua dah Kuna watu ambao wanajiamini mbele za watu ila wakiwa ndani wanalia kama watoto wadogo.

I'm sorry ndugu yangu sijataja jina lako HAPA ila najua upo nataka hii iwe Funzo kwa wengine mapenzi yanauma bwana.
Mapenzi hayana mwenyewe. Hata wazazi na mababu zetu yaliwatesa pia
 
Kinachoonekana hapa,

1. Mtoa mada alishauriwa kumuacha mpenz wake aliempenda sana,

2. Afu alichoshauriwa akakiapply direct
Akiamini bila shaka alichoshauriwa ndivyo wengi wote tulivyo.

3. matokeo yake akampoteza ampendae, na kujutia USHAUR ule aliopewa.

4. Sasa mshaur mkuu nae kapata majanga, Badala ya kumshaur pia. Kwake imekua ni furaha kwake kuona wote wana majanga.

5. Mtu Kama Mtoa mada ndo wale wanaamini kwamba motivational speaker wana Bora sana Kama vile wanavoonekana kwenye suti wakiwashaur watu.
 
Mhenga mwenzangu

Sometimes I wonder ni mimi nime outgrow common sense cause its never thr JF we had 15 or 10 years back . Unabakia kushangaa tu na kukaa kimya
 
Sio Kila kitu unabeba kama kilivyo sometimes tumia you own cogntive sio Kila ushauri utakaopewa utapafanya kazi na sio Kila ushauri utakaopewa unabeba mazima .afu kwanin ushangae yey kuja kuomba ushauri kwanin yey ni mbuzi si binadamu kama wew humu Kila mtu ana shida zake Kuna watu wanachongomoto za kiafya, kiuchumi,kielimu,kimausiano,kiroho,n.k
 
mapenzi hatar sana we acha eti kumove on

Kuna jamaa kipind tuko chuo mwaka wa tatu alisikia demu wake kaolewa maana alikuwa mtaani jmaa tulimkandia nachat nae ananitumia viemojs vya kucheka kwamba hana mpango nae eti nishamove on

Wiki kadhaa mbele watu wamevunja mlango alikuwa anataka kujinyonga usia kashaandika yule demu ndo tatizo kwa nn amuache
Jamaa alikuwa anajikaza kisabuni

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Kweli mwanawane hizi keyboard zina ujinga mwingi. Ata mie hapa nawapa ushauri ah wee pisi kali tomber tupa kule...ila sasa kuna kapisi kakali hako kana nipelekesha kama mtoto mdogo

Hako kapisi mkuu kameshakupa mbususu au ndo unaifukuzia
Hadi wewe aiseeee mapenzi shikamoo
 
Duniani hakuna watu wanaotoa ushauri mzuri kama wenye matatizo ambayo unaomba ushauri toka kwake...!! Unaweza hisi hana hiyo shida ila big No
 
Hako kapisi mkuu kameshakupa mbususu au ndo unaifukuzia
Hadi wewe aiseeee mapenzi shikamoo
Mbususu nilishakula ila sasa bwana sijui mbususu ile ina nini...naweza piga threesome huko lakini lazima huyu nirudi kwake
 
Naomba jina la binti tumchongeshee sanamu pale posta
Bila kusahau kumuomba mama SSH amteuwe kwenye chaguzi zake😆😆😆😆maana sio poaaa mzeyaaa
 
Back
Top Bottom