Alinifanya niwachukie wanawake maishani mwangu

Milestone

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
379
407
Alikuwa ni binti aliyelelewa katika familia yenye maadili , alikuwa ni binti mtulivu na mwenye msimamo positive juu ya maisha yake ! Wanaume wengi walimwinda lakn hawakufanikiwa kumpata ila mimi ni moja ya wa2 waliofanikiwa kumpata na nilijiona mwenye bahati sana ! Tulipendana sana. Siku ambayo sitakuja kuisahau ni pale nilipomshuhudia akigegedwa na wanaume watatu ambao nao walikuwa ni ndugu zake wanaokaa nyumba moja na pale ndipo nilipoamini wanawake ni wanafiki na nawachukia mpka leo
 
We kama huwawezi wanawake sema tu, vipi uchukie wanawake wote, kama mmoja ndo kafanya makosa.
 
sasa hapo wanawake wote wamehusikaje? kumbuka hata mama yako ni mwanamke na bila yeye kugegedwa usingezaliwa.
 
ilikuwaje ukamfumania live??au ulihisi tu[/QUOTE

alikuwa akilala chumba cha nje ya nyumba yao na ndipo cku nikiwa naenda kumchukua kwa ajili ya outing ile kufika dirishan nkaishia kuondoka pasipo kuaga
 
ilikuwaje ukamfumania live??au ulihisi tu[/QUOTE

alikuwa akilala chumba cha nje ya nyumba yao na ndipo cku nikiwa naenda kumchukua kwa ajili ya outing ile kufika dirishan nkaishia kuondoka pasipo kuaga
Funguka zaidi kwani ilikuwaje? Ulimkuta na wanaume wote watatu kwa pamoja? Na walikuwa na undugu wa namna gani naye mkuu?
 
Damn yaani ndugu wanapigana mtungo, acha uongo kaka, labda sio tz
 
Sasa siumalizie mkuu tu. Ilikuwaje baada ya hapo?

Hahahaaaaaaa, Mtoto wa kitaa! Jamaa kawakamata kweli na hadithi yake! Mwanzo wake mzuri bwana make amefanikiwa kuwaacha wasomaji na hamu ya kuendelea na hadithi yake.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
buyu dogo story zake bana...wee nae ulitakiwa jiunga umgegede au uliogopa utagegedwa na hao njemba
 
Back
Top Bottom