Alinifanya niwachukie wanawake maishani mwangu

Alinifanya niwachukie wanawake maishani mwangu

Mimi nilidumu na msichana miaka minne nlipokuwa tayari kumwoa nkagundua anagongwa na babake mzazi!
mwanzo sikuamini ila nilipowafuma wanatoka gesti nikaachana naye!

duuhh, kuna watu wanalaana.
Unaenda guest house na babaako aliyekuzaa kweli? Mungu atunusuru na hiyo laana
 
dunia ina mambo jamani.ila usilaumu kukmkuta akizini na babaake maana hzo zinawezekana ni imani za kishirikina kupata na kuendeleza mali!!
 
Dah. Umenikumbusha mbal kuhusu mpeoz wangu alivoenda kukaa kwa mume wa dadake. Nalia. Mpaka xaxa sjaamin kama alimuacha. Ila mpenz aliniembelea hvi majuz ananihakikishia ana bikra. Sjasex nae. Nimemuahd
 
Back
Top Bottom