Alinifanya niwachukie wanawake maishani mwangu

Alinifanya niwachukie wanawake maishani mwangu

hahahah, haya mambo kumbe ni vice verse "mimi mke wangu ndio huwa ananifumania kila siku, na anawachukia wanaume wote ila anampenda baba yake tu"
 
Haaaaa, usitake ncheke, ye hajui kuwa mwanamke anamatundu sita? Uliza waarabu watakuhesabia.

kha!!! sita!?? ebu tuambie na mie nikajaribishie bwana labda tunakosa raha ya ukweli
 
Pole inauma kama uliona kwa macho yako,take it easy fungua mlango mwingine
 
Wewe mpaka leo bado unapenda wenzako tunatamani tu.Angalia usije ukanywa sumu
 
Mh!hii naona imekaa kama hadithi vile,ungeniambia alibakwa na wanaume watatu ningekuelewa haraka,lakini kwamba alikuwa anatembea na wanaume watatu kwa wakati mmoja,tena kwa hiari yake,hii siiamini!
 
hahahah, haya mambo kumbe ni vice verse "mimi mke wangu ndio huwa ananifumania kila siku, na anawachukia wanaume wote ila anampenda baba yake tu"

Acha mambo yako wewe you have made my day khaaaaa!
 
Back
Top Bottom