Alinifanya niwachukie wanawake maishani mwangu

Alinifanya niwachukie wanawake maishani mwangu

Acha mambo yako wewe you have made my day khaaaaa!
Kweli mkuu,kutokana na tabia yangu ilivyokuwa - kufumaniwa ilikuwa jambo la kawaida tu,and ikamfanya wife aone wanaume wote ni hayawani isipokuwa baba yake tu!
 
pole kwa kumegewa ila pole kubwa kwa kumegewa na ndugu....watu wengine akili zao kama zipo makalioni unameganaje na ndugu mmh
 
pole kwa kumegewa ila pole kubwa kwa kumegewa na ndugu....watu wengine akili zao kama zipo makalioni unameganaje na ndugu mmh

Watch ur mouth Evelyn and Hold ur tongue! Yaan shukuru mungu alikuepusha na laana hiyo! Ungethubutu kuonja tu, leo hii ungekuwa na mtazamo tofauti sana!
 
Watch ur mouth Evelyn and Hold ur tongue! Yaan shukuru mungu alikuepusha na laana hiyo! Ungethubutu kuonja tu, leo hii ungekuwa na mtazamo tofauti sana!
Huo ni zaidi ya umalaya...wanapandana ndugu wanyama sio binadamu
 
Tabia ya mtu ....... Huyo anaakil za usiku
 
Mh!hii naona imekaa kama hadithi vile,ungeniambia alibakwa na wanaume watatu ningekuelewa haraka,lakini kwamba alikuwa anatembea na wanaume watatu kwa wakati mmoja,tena kwa hiari yake,hii siiamini!

Mi naona afadhali kutembea na wanaume watatu kuliko kubakwa na wanaume watatu, si wanatembea tu barabarani
 
UK Iona mwanamke anadegedwa na ndugu kapime sperm zako....kitendo kile anatakadamu isipotee irudi kwenye ukoo nendanae hosp
 
pole kwa kumegewa ila pole kubwa kwa kumegewa na ndugu....watu wengine akili zao kama zipo makalioni unameganaje na ndugu mmh

Mimi nilidumu na msichana miaka minne nlipokuwa tayari kumwoa nkagundua anagongwa na babake mzazi!
mwanzo sikuamini ila nilipowafuma wanatoka gesti nikaachana naye!
 
sidhani kama hii kweli ina maana wewe ulikua unafumania kila siku???
 
Kama ni ndugu labda hakuwa mwanamke alikuwa msichana, na ulivyowaona walikuwa wanacheza kibaba baba na kimama mama
 
Mimi nilidumu na msichana miaka minne nlipokuwa tayari kumwoa nkagundua anagongwa na babake mzazi!
mwanzo sikuamini ila nilipowafuma wanatoka gesti nikaachana naye!
duh mkulima akaamua kula mbegu....pole
 
Tyta kuna kazi ya kufanya 'due dilligence' huku......!! Come zis way pliz
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom