Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,606
Mtumishi anacheza na ulimwengu wa roho! utaweza kupambana nae?
Ni kaka ake na mr kukuMbegu sio sadaka. Sadaka Ni kafara, lazima ife. Mbegu Ni mbegu lazima iote na izae zaidi. Ndio maana nilikuwa namlipa kwa bank deposits na kwenye deposit slip nilikuwa naandika hii Ni mbegu ambayo iwapo itakufa nitaidai.
Mwamposa hawakumfungia na watu walikufa ije kuwa bomu ambalo haitajulikana limetoka wapiTengeneza bomu la petrol tukalipue kanisa lake, unafanya mashambulizi consecutively mpaka waumini wakimbie pawe sio mahali salama tena na mamlaka zitapafunga mbona simple tu mjomba.
Kuondolewa kazini ndio ilikuwa adhabu yangu, Sasa nawanufaisha tu wenye NGO zao. Utumishi wananiomba nirudi, nimewakataliaSerikali inatakiwa ikukamate kwa kufoji vyeti. Hufi wewe.
Kweli wewe ndio nyumbu, yaani hata digestion of data umeshindwa?Akili ya kinyumbu nyumbu baadae unaanza kulaumu serikali na kila mtu
Kila apandae atavuna, asipozimia moyo, subiri... ila kama ulipanda kwenye zege hesabu maumivu ๐๐๐Na wewe unataka kuanza kutabiria watu?
Kuhani Mkuu, Kuhani Noah, je wewe Ni zege au lami?๐คฃ๐๐ ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐Kila apandae atavuna, asipozimia moyo, subiri... ila kama ulipanda kwenye zege hesabu maumivu ๐๐๐
Kuhani Mkuu, Kuhani Noah, je wewe Ni zege au lami?๐คฃ๐๐ ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐
Uwiรญiiiii twafwaaaa๐๐๐๐.. ni chuma kabisa kimechanganyikana na lami
Mstari was kupandishwa mbegu...Kila apandae atavuna, asipozimia moyo, subiri... ila kama ulipanda kwenye zege hesabu maumivu ๐๐๐
Hahah kwahiyo mtumishi kashajua tayari kuwa jamaa analeta malalamiko jfMtumishi anacheza na ulimwengu wa roho! utaweza kupambana nae?
Apandae haba , atavuna hapa .. unaweza ukawa ulipanda mbengu zako kwenye miiba au mwamba.. ๐ ๐ ๐Mstari was kupandishwa mbegu...
KILA APANDAYE KWA MACHOZI, ATAVUNA KWA KICHEKO....
Mkubwa mwenzako kumuita muongo ni sawa na tusi ๐๐Wewe ni mwongo mno.
Aisee sikupanda kwa UDHALIMU. Hata sadaka yangu haikuwa kilemaApandae haba , atavuna hapa .. unaweza ukawa ulipanda mbengu zako kwenye miiba au mwamba.. ๐ ๐ ๐
Twende nikupeleke na mbegu yako tuone kama utapewa hata chenjiWewe ni mwongo mno.
Halafu aliniambia nimnunulie shati la kijani kibichi na njano, sijui ndio linasaidia kuotesha mbegu?Hahah kwahiyo mtumishi kashajua tayari kuwa jamaa analeta malalamiko jf
Aisee yani mbegu imeleta mavuno mpaka imezaa Prado TX ya 2018 haya bwana hongera ila acha tu mi niendelee kubaki kumuomba MUNGU wangu labda na mimi ntazisahau daladala ntahamia kwenye Toyota FortunerHalafu aliniambia nimnunulie shati la kijani kibichi na njano, sijui ndio linasaidia kuotesha mbegu?
Basi huenda mbegu yako uliipanda kwa mlaji mbengu na sio mpandaji wa mbengu ๐๐๐.. ua ulipanda mkate badala ya mbengu inayowesha kuzalisha mkate ๐Aisee sikupanda kwa UDHALIMU. Hata sadaka yangu haikuwa kilema