Aliniahidi kupokea utajiri kwa panda mbegu ya utajiri (pesa). Mwaka wa tano sasa napigwa. Je, nawezaje kumfungulia mashtaka tapeli huyu?

Tengeneza bomu la petrol tukalipue kanisa lake, unafanya mashambulizi consecutively mpaka waumini wakimbie pawe sio mahali salama tena na mamlaka zitapafunga mbona simple tu mjomba.
Mwamposa hawakumfungia na watu walikufa ije kuwa bomu ambalo haitajulikana limetoka wapi
 
Mstari was kupandishwa mbegu...
KILA APANDAYE KWA MACHOZI, ATAVUNA KWA KICHEKO....
Apandae haba , atavuna hapa .. unaweza ukawa ulipanda mbengu zako kwenye miiba au mwamba.. ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Halafu aliniambia nimnunulie shati la kijani kibichi na njano, sijui ndio linasaidia kuotesha mbegu?
Aisee yani mbegu imeleta mavuno mpaka imezaa Prado TX ya 2018 haya bwana hongera ila acha tu mi niendelee kubaki kumuomba MUNGU wangu labda na mimi ntazisahau daladala ntahamia kwenye Toyota Fortuner
 
Back
Top Bottom