Dah! This is like a movie. Kweli dunia mzunguko. Aisee hapo kikubwa ni uimara wa uhusiano wako wewe na huyo kaka yake. Kama uhusiano wenu ni imara kiasi cha kutosha, huyo dada yake hawezi kuwatenganisha. Jaribu kuongea nae uone atakujibu nini! Lakini, yote kwa youte, huyo mchumba wako mtarajiwa na wewe ndio wenye maamuzi ya mwisho!
By the way, yaliyopita si ndwele ila ningependa kujua. Je mkiwa huko chuo, yule kaka aliyefanya mpaka mkagombana, ulimkubalia kuwa na uhusiano nae wa kimapenzi?
Zile zilikuwa za utoto hata ku do na mwanaume unaogopa, sana sana kakutoa movie, Avalon, unapata denda alafu unarudi choni.
Okay! Cha msingi ni msimamo wenu, yaani wewe na huyo kaka yake na 'shosti wako wa zamani'.
Halafu lazima mtakuwa watu wazima sana, maana mlikuwa chuo enzi za ''hakuna mobile phones, na outing ilikuwa kwenda Avalon Cinema''. Busara zenu na zitawale swala hili ili nifikie mwisho wenye mafanikia mnayoyatarajia!
Hiyo 'K'imeshakua used kishenzi lol!!Mimi na huyu dada tulisoma wote primary, baada ya hapo secondary kila mtu akatimkia kivyake, tulikutana chuoni tukiwa in early 20's. Yeye alikuwa na bwana lakini sikuwahi kumfahamu, ilitokea siku moja nilikwenda kukata ticket nisafiri, yule kijana kumbe aliniona akamuomba mkata ticket kwa gharama yeyote nipe kiti pembeni ya yule dada, sikujua muuza ticket alifika dau au la, lakini nilikaa kiti kimoja na yule kaka. Wakati ule barabara zilikuwa mbovu sana, ile safari ilichukua massa 8. Tulifika usiku, wakati ule hakukuwa na mobile phones, so yule kaka alichukua taxi akahakikisha inanifikisha mimi kwanza ndiyo yeye aendelee na safari.
Kwa kifupi muda wote ule nilishamwambia ninasoma chuo gani ninafanya nin. Basi kaka akaanza trip za kuja chuoni na vijizawadi. Yule dada akagundua lo, urafiki ulikwisha, inilijaribu kumueleza kuwa sikufahamu uhusiano wao. Yule jamaa alinionyesha barua aliyoiandika yule dada kwake, 'unaniacha mimi cheupe dawa kwaajili ya yule gorilla', any way, ninajua hakutakiwa kunionyesha ile barua.
Miaka mingi imepita sasa, nimekutana na kaka yake ambae wakati tuko primary yeyey alikuwa mbele yetu sana, tumeanza ku date, na inaonyesha is heading to a serious relationship, kaka amenifahamisha dada yake amekuja kumsalimia niende, nimefika dada ananibenulia midomo, jamaa amenotice hiyo, alichoniambia amesema I've to make an effort to talk to his sister because I mean so much to him. Ninaomba ushauri.
HAHAHAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!! @ Gorilla! Mambo ya G U NOT!!!!!!!! You made my evening CHEUPE V GORILLA!!!!!!!!!
Back to topic!
Usijipe stress wewe! Wifi bongoooo!!!!!!!!!!! Wifi ilikua zamani sio sasa! Kama ana uchungu sanaa aolewe yeye basi na huyo kaka yake!
Wewe hapo ndo umeshika hatamu na bank account zote ukijitahidi kwenye uwanja wa fundi seremala, There is nothing between you and the wife title! JST IGNORE HER!!!!!!! Toka lini tembo akawaza barabarani kuna visisimizi? Ukimuignore ata learn to accept the reality kuwa wewe ndo maza house originale!!!!!!!!
Mwenyewe viwifi uchumba hivi huwaga navinyali nyali, sio kwa kuwa navionea wivu au kijiba ila navihurumia kujikukurusha na kujikomba komba wakati yeye wifi wa 20 labda mimi kutambulishwa! Sasa inakuwa i spare myself the sentiments!!!!!!!!!
Love conquers all my dear kama kweli una penzi la dhati na zito kwa huyo kaka mtu, tafuta suluhu na wifi yako. Mwambie ilikuwa utoto tu muyamalize. Kama vipi jilipue kwa mpenzio mweleze ukweli asipokuelewa it wasn't meant to be. Ni bora ukaachika kwa kusema ukweli kuliko kuuficha ukaja julikana baadae.