Alikuwa rafiki, tukagombania bwana, sasa kaka yake anataka kunioa!

HAHAHAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!! @ Gorilla! Mambo ya G U NOT!!!!!!!! You made my evening CHEUPE V GORILLA!!!!!!!!!

Back to topic!

Usijipe stress wewe! Wifi bongoooo!!!!!!!!!!! Wifi ilikua zamani sio sasa! Kama ana uchungu sanaa aolewe yeye basi na huyo kaka yake!

Wewe hapo ndo umeshika hatamu na bank account zote ukijitahidi kwenye uwanja wa fundi seremala, There is nothing between you and the wife title! JST IGNORE HER!!!!!!! Toka lini tembo akawaza barabarani kuna visisimizi? Ukimuignore ata learn to accept the reality kuwa wewe ndo maza house originale!!!!!!!!

Mwenyewe viwifi uchumba hivi huwaga navinyali nyali, sio kwa kuwa navionea wivu au kijiba ila navihurumia kujikukurusha na kujikomba komba wakati yeye wifi wa 20 labda mimi kutambulishwa! Sasa inakuwa i spare myself the sentiments!!!!!!!!!

Lara 1, do you drink what you preach (meaning; do you practice all these theories you post here)?
 
Asante sana. Unajua mahusiano ya sasa hivi ni kuwa tu unahitaji company, si ile ya kuwa akiniacha nitafanya nini jamaini. Yeye ana career na mimi vile vile.
Ndio naelewa na mie nilikuwa nazungumzia matters of the heart mamii, hiyo company unayoihitaji toka kwa huyo kaka imebase wapi? Si unampenda toka moyoni? fight for your love hun.
 
Ndio naelewa na mie nilikuwa nazungumzia matters of the heart mamii, hiyo company unayoihitaji toka kwa huyo kaka imebase wapi? Si unampenda toka moyoni? fight for your love hun.

Sana tu dear, halafu bi dada anataka kuleta kiwingu.
 
Lara 1, do you drink what you preach (meaning; do you practice all these theories you post here)?

ABSOLUTELY!!!!!!!!!!! If i can think it i can do it if not why would i think it????????????

Ujue at these times you need to be sharp as a girl! Mfano hivo viwifi, mtu akitambulishwa tulia utolewe mahari basi! Hukauki ukweni! Kumbe hapo mtu huyo mmoja kawatambulisha at par wote 4 ili awafaidi vizuri!

Omba basi utambulishwe kwa watu wazima ndo uamini, hadi sisi vidada na wadogo zake!!!!!!!!!!!
 
Umenikumbusha story fulani. Kuna dada mmoja alikua family friend,
Na kulikua na kaka mmoja alikua ananitongoza. Nilimkataa, akadate huyo family friend
vyao vikaisha after a few month, but mimi na yule kaka tukaendelea kua marafiki
hivi leo ni almost 7 years later mi na yule kaka still tupo marafiki, yule dada kaolewa
Hapa majuzi nilikua somewhere na huyo kaka tunapunga hewa, mara dada akapita
You won't believe it, kanitangaza eti nimemwibia mpenzi wake. :shock:
Yeye kaolewa, mimi na huyo kaka hatujawahi kua (na hatuwezi tena)
Nashangaa vitu vya zamani, seven years ago, anataka kuvileta leo
The guy wasn't man enough for me then, leo nimekua ndio nimpende?
Na hata nikimpenda yeye yanamuhusu nini maana she is married tayari?

Haya turudi kwenye mada: Kama kweli huyo kaka ana-insist mwambie
akae na dada yake na amshahurie: she should appologize to you. basi!
My sis to appologies? no way you are joking
 
ABSOLUTELY!!!!!!!!!!! If i can think it i can do it if not why would i think it????????????

Ujue at these times you need to be sharp as a girl! Mfano hivo viwifi, mtu akitambulishwa tulia utolewe mahari basi! Hukauki ukweni! Kumbe hapo mtu huyo mmoja kawatambulisha at par wote 4 ili awafaidi vizuri!

Omba basi utambulishwe kwa watu wazima ndo uamini, hadi sisi vidada na wadogo zake!!!!!!!!!!!

Hii gia ya kutambulisha ilikuwa inanisaidia sana kugegeda wanao taka kuolewa mpaka umtambulishe ndo anipe mzigo..
 
Wewe hapo ndo umeshika hatamu na bank account zote ukijitahidi kwenye uwanja wa fundi seremala, There is nothing between you and the wife title! JST IGNORE HER!!!!!!! Toka lini tembo akawaza barabarani kuna visisimizi? Ukimuignore ata learn to accept the reality kuwa wewe ndo maza house originale!!!!!!!!!!!!

Unanifurahishaga dada lara 1 yaani ukicomment kwenye issue za mapenzi/mahusiano...lazima 'uchumi' na 'ngono' uzingatiwe! I agree with you thou, those 2 run the world..kubali au kataa!
 
Last edited by a moderator:
.....school mate, college mate, mate's boyfriend, mate's brother....aisee?

Hako ka community mnakoishi mzunguko wake mdogo ee? Wenyewe kwa wenyewe 'mule mule'...

Anyway! kaka mtu aka mpenzi wako ANATAKA u-make an effort kupatana na dada'ke aka wifi yako mtarajiwa...huh?

Are you desperate? Jing'atue, unless unataka kupoteza furaha ya maisha yako ili kuwafurahisha kaka mtu na dada'Ke
 
achana na hako ka wifi uchwara, yani na hako ndio kanakunyima usingizi? khaaaaaa, nawe bana hebu jifanye humjui kabisa mkikutana salamu kwishneyy........

anakuonea wivu kwani yy ndio ataolewa na huyo kaka yake? ...wasichana wengine bana, kujiabisha tuuuuuuuuuu...sasa yy kinamuuma nn we ukiolewa...mmxxxxiiiiiiii......lipuuze tu..we angalia mchuchu wako weka mambo yako fresh, basi....usifikiri utaweza kumfurahisha kila m2 hapa duniani
 
Back
Top Bottom