Hahaaaaa
Nice try...umefeli swali la kwanza kabisa
Ila na mimi ni Jimmy wa Tabata.
Hahaaaaa
Nice try...umefeli swali la kwanza kabisa
Sikubali aiseeUmekosea nyumba I think, au uliyemkuta alikuwa mkewe akaamua kukujibu mbovu tu ili usirudi tena pale
HahaaIla na mimi ni Jimmy wa Tabata.
Sasa alikufanyaje mpaka usimsahau? Ndotoni je? Jini hilo mama, nitafute nikutoe mikosi na mapepo! Njoo PM nikupe utaratibu!Hajawahi
Mweh!Sasa akijufanyaje mpaka usimsahau? Ndotoni je? Jini hilo mama, nitafute nikutoe mikosi na mapepo! Njoo PM nikupe utaratibu!
Basi member aliyesema ulisahau nyumba atakuwa yupo sahihiNina vitabu..calculators..na zawadi nyingine tulikua tunashare
Kaandika majina yake kwa juu
Ha ha ha haaaaa,,Mweh!
Unatoaje
Hapana asanteHa ha ha haaaaa,,
Njoo tu PM tutaelewana tu,
Njoo tuonyeshane makali!
NahisiBasi member aliyesema ulisahau nyumba atakuwa yupo sahihi
Mail inaweza kufutika lkn siyo email address. Ingia kwa email yako, fungua "Compose".Miaka kumi imepita
Na tuki la kwenda kwenye hiyo nyumba ni miaka sita imepita
Sawa mkuu
But Wana uwezo wa kutunga hadI vitu halisi kweli?
Siamini
Wewe Mambo ya majini umejuaje ka haushirikiani nayoKwa majini hili huwa kawaida watu huwa wanasoma nao na kuhitimu nao bila kustukiwa kama ni majini, kwahiyo anaweza kumuulizia na akapata taarifa zake kama kawaida, ila "sometimes" majini wenyewe huwa wanapuyanga na kustukiwa pindi wafanyapo matukio ya ajabu.
Ndiyo maana huwa tunawapa nasaha majini wanapo amua kuja kuchukua ujuzi kwetu sisi binadamu basi wasiwe wnafanya matukio ya ajabu, sababu huwa wanatuathiri sisi na mfano wake.
Kwani kila unachokijua lazima kiwe na sharti ulilo liweka ?Wewe Mambo ya majini umejuaje ka haushirikiani nayo
Alirudi miaka mingi nyuma, na pengine hao aliowakuta ni wazazi wa huyo anayemtafuta, lakini walikuwa bado hawajamzaa.Hongera "time traveler"
Mhhhhhhh!???Kwani kila unachokijua lazima kiwe na sharti ulilo liweka ?
Lakini habari zao tunazo,sababu ni viumbe ambao wapo kabla yetu sisi kuwepo.
Nitakusimulia kisa.