Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 3,406
- 10,535
- Thread starter
- #101
YeahMaana yake huna uhakika kama alihitimu shahada yake ya kwanza?
Si kupata taarifa tena
Natumai alihitimu
YeahMaana yake huna uhakika kama alihitimu shahada yake ya kwanza?
mmh vile Mimi siamini katika mambo ya majini uchawi and the likes naona Labda hapo kwenye nyumba walikunyima tu details Labda ulikuta watu ambao na wao walihamiaKama huamini basi
Mtu tumepanda mpaka daladala wote..tumekula wote
Anampigia simu bi mkubwa kumbe anaoga anapokea mzee kwa hofu baada ya kusikia besi anakata hahaa anakuja kunisimulia huku anatetemeka
Ni baadhi ya moment nilizopitia nae
Itakuwammh vile Mimi siamini katika mambo ya majini uchawi and the likes naona Labda hapo kwenye nyumba walikunyima tu details Labda ulikuta watu ambao na wao walihamia
Viumbe hao wana uwezo wa kujibadilisha kuwa chochote. Anaeza chukua hata sura yako akawa wewe!Ni binadamu wa kawaida
Swali lililokosa jibu ni pale kwao
Lakini huku mwingine nasema ni binadamu wa kawaida..siwezi kubali
Kwani wanafunzi hawatomb....i?Hakuwahi.nlikua mwanafunzi
Historia inaanza hivi...
Kipindi nkiwa bado shule secondari miaka kumi sasa imepita,nilinunuliwa simu na bro wangu. Siku moja ghafla mida ya mchana iliingia SMS kutoka kwa namba ngeni ikisomeka "ukitoka hostel nijulishe uniazime kitabu chako" sikumbuki sawa sawa but nimeotea tu kwa kumbukumbu.
Nikaanza kuchat nae kitabu gani na wewe nani
Ndipo mbele akagundua amekosea number na kuomba radhi kwamba alikuwa anamtumia mdada mmoja classmate wake namba zinafanana
baadae tukaanza kufahamiana kwa kuendelea kuchat.
Alijitambulisha anaitwa Jimmson Henry, anasoma chuo kikuu mlimani (UDSM). Yuko mwaka wa pili bachelor degree ya information technology (IT). Anaishi hostel za mabibo lakini kwao tabata.
His paternity origin is Ngazdja from Comoros islands,and Lindi mtwara kwa upande wa mama. He was so talkative,cheerful,funny na utani mwingi!
Tuliendelea na mazoea ya kuwasiliana,alinieleza mengi kuhusu maisha yake.nami yangu pia.
Mwisho sababu ya ujana akaanza kuniomba nafasi,nami nikampaa bila hata kumuona.
Mazoea yaliendelea ikafika muda nipo likizo akaomba tufahamiane kwetu tunapoishi,alianza yeye nikamleta kwetu hadI bi mkubwa alimuona.
Ikafika zamu yangu nikaunga "tuisheni" kwao maeneo ya tabata liwiti.
Nilivyofika kwao aliweza kunitambulisha kwa mdogo wake wa kiume hawapishani sana kiumri anaitwa James. Tuliongea mengi na kuna mzee jirani pia alikuwa ni seremala naye akamuuliza huyu nani akanitambulisha rafiki yake.
Baada ya kuondoka tukaanza kuwasiliana ananiambia we ni mzuri sana hadi huyu mzee hapa jirani ananitania yule mrembo umemtoa wapi,kakangu piaa!
Few months later akamaliza mwaka wa pili na kuwa likizo na mimi nkiwa natarajia kuingia mitihani yangu ya final.
Akanijuza kapata mwaliko america kutoka kwa rafiki zake wawili na taratibu zote za visa,tickect kafanya kwa gharama za wenyeji wake akafanikiwa kwenda. Alikaa kwa miezi mwili tunawasiliana kwa njia ya email nkiwa na mdogo wake.
Akirudi na tukaanza kuwasiliana as usually.
Kufupisha kuna kipindi alikua anapitia majukumu magumu ya kifamilia kama mtoto wa kwanza kwao,akawa anakosa hata muda nami. Nami nikawa frustrated na mambo yangu tukakorofishana na kupotezeana.
Baada ya mwaka mmoja nikiwa chuo sikuweza kuhimili alikuwa amenikaa sana kichwani hadI napata msongo wa mawazo.
Nikajiambia kwao napakumbuka nijaribu kwenda.
Nilipanga weekend asubuhi nikaifikia nyumba nikiwa nimekaa mbali kidogo nione kama atatokea mtu.
Masaa yalipita nikahisi hawapo japo mlango upo wazi. Akatokea mdada mrefu mweupe nikajua atakuwa member mojawapo wa familia.
Nilisogea na kumsalimia akanijibu nikaanza kumuulizia jamaa wakaanza kushangaa hawamjui. Nilitaka details zote hadI wadogo zake na Dada zake hawamjui
kuulizia ile nyumba wale wadada wanadai wao wameishi pale tangu udogoni na mtaa mzima wanawajua. Haijawahi kuishi familia nyingine hata kupangisha
nikawauliza kama kuliwahi kuwa na mzee seremala upande wa nyumba anaranda mbao wanajibu hakujawahi kuwa na fundi seremala hapo.
Na nikiangalia like eneo naona tupu hakuna dalili yoyote hata mzee kuacha mabenchi ya mbao.
Kuna maduka around nikawa nawauliza wanadai hawajahi kuishi na mtu wa aina hiyo, hawamjui
Lakini nyumba ni ile ile hadI ndani kuko vile vile. Mpaka sasa sipati jibu.
Maana alishare nami vitu vingi mno mpaka harusi ya mdogo wake ilifanyika kwenye nyumba hiyohiyo.
Safari zake zote.mamake ahata akiwa anaumwa na2julishwa nimpe pole mkwe. Plans zake zote.
Mfano alivorudi kutoka America alipewa zawadi ya gari akaghairi sababu hana uwezo wa kuhudumia, akaomba badala yake atumiwe vifaa vya office tufungue stationary kubwa kijitonyama.
Alikua so bright kiasi anapata nafasi za kazi kwenye biashara na makampuni za maprofessor wake. Kila kitu ndani ya ofisi anashare nami.
Mpaka sasa ananiwinda kichwani kama mzimu na hapo kwao ndo hivi kama nilivyopakuta sijapata majibu hadI sasa.
Alikuwa nani?
@Madame B umepotea,nan huyo kakuweka kinyumba jaman?Aiseee...
Inasisimua na kutafakarisha pia.
😳Acha kukompliket nimekuitaje, anyway usicompliacate jina,
wewe unashida nahisi umepoteza kumbukumbu hujijui, chuo si alikua na marafiki wewe si ulimkuta chuo sasa aweje kuwa sio binadamu wa kawaida
😳Wew umekosea nyumba or otherwise wew ndio una shida kichwani hakunaga scenario za hivo maishani
Chief wewe utakuwa karibu sana na ukweli kama mtoa mada atakuwa ni mkweli pia.Kuna uwezekano mkubwa sana ulisahau ukachanganya nyumba. Kuna baadhi ya mitaa imefanana sana
Kumbe una Maputo mengi?Kwakweli.
Nimeweza kuwasahau wengi ila huyu hanitoki
Angekuwa binadamu mngefanya jimai tu.Hapana.
Nlikua shule so Ilikua kesi akinigusa
Mission was kusubiriana