Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

K
Bora mtu akuombe unaweza mwambia kistarabu ndio au hapana.
Ety jitu linalazimisha alf sio bwana angu na sikuwai kufikilia.
Kumbwe swala sio kujiheshimu,ila ni kwa sababu huna hisia nae ? wanawake bwana,kwahyo kama unahisia nae na anataka mzigo hata kama sio bwana ako anakula.
 
Wanaume ni viumbe wa ajabu sana. Baadhi yao wakishahitaji kuwa na mtu, watatumia kila mbinu ili ampate. Tatizo linakuja pale huyo asipokubaliana na suala lake.

Wengi huchukia na hadi kutengeneza uadui. Hivi, niwaulize wanaume kwanza...hamuwezi kujenga urafiki na mtu bila mapenzi? Kwanini wengi wako hivyo?

Yaani.
Marafiki tulionao wanatosha
 
Mimi ni mmoja ya wanawake nayepigia kelele, wadada kama humtaki mtu usile vyake. Mimi kama sikutaki hutopata hata muda wa kuendelea kuwasiliana.

Achana na muda wako wala hela zako, hatutafika huko. Sijakuelewa nakata mawasiliano nawewe. Sitatumia senti 5 yako nyekundu.
Wewe ndio umeongea safi sana,usipokula cha mtu hata kuleta mada za kukutaka itakuwa ngumu sana,na mwanume atakuelewa hawezi kukusumbua kabisa,maana hakupati kwenye lolote
 
Mnakula vyawanaume kutoa uroda inakuanongwa kama humpendi mtu mwambie sio kumpiga vibom hii huwa inaleta uhasama
 
Nilichopewa si sanamu la Michelin kwamba kila mtu atataka aone linafanana vip.

Usiibanie sana mwisho wake ni kuliwa na mchwa tu!! Itumie amana yako ungali na nguvu ,itafika wakati utashindwa kuitumia ingawa utataka kufanya hivyo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom