Wanafanya mapenzi ili waishi, tunaishi ili tufanye mapenzi

Dr criminal

JF-Expert Member
May 16, 2022
2,278
4,270
Kupenda sana kusalimiwa ni dalili ya umaskini, kupenda sana kusalimia ni dalili ya uungwana, kwakua we sio maskin(wa fikra lakini maana nna uhakika hela huna) na mimi sio muungwana kihivyo basi inakua win-win game(wazee wa mikeka).

WANAWAKE
Wanawake wanafanya mapenzi ili waishi, yaani wanashiriki tendo la ndoa na wanaume ili waendeshe maisha yao ya Kila siku au wapate vitu vya thamani ambavyo Kwa kutumia nguvu na akili yake mwenyew Wenda hasingevipata kabisa au ingemchukua muda sanaa mpaka kuja kuvipata.


Mwanamke leo anahakikisha anakuwa kwenye mahusiano na mtu ambaye atamfanya aishi vizuri. Yaani kuanzia kula vizuri, kupendeza, kulala pazuri, kuingia viwanja vizuri, usafiri mzuri kama sio wa uhakika.

Mwanamke leo yupo tayari kuigharimu afya yake ili awe na mvuto mzuri apendwe na wanaume, kitu kitachopelekea apate Kila anachokitaka kutoka kwao.

Mwanamke leo anaumia kisaikilojia akigungua hana tako/kalio/kishundu, kitu kitachosabisha asiwe na soko.

Mwanamke leo anavua nguo zake na kumkabidhi tunda mwanaume ambaye kimsingi hajampenda ili apate simu kali ya kuendana na wakati husika (iPhone 14 is out).

Mwanamke leo anapanga chumba au nyumba na anajua kabisa hana kipato cha kumwezesha kulipa kodi ila kupitia mwili wake hiyo kodi italipwa tu.

Mwanamke leo anacheza vikoba na hana chanzo chochote cha kumwingizia kipato ila kupitia mwili wake vikoba vitalipwa tuu.

Maskini single mother anamsomesha mtoto wake shule nzuri ilihali kipato chake ni cha kawaida sanaa lakini mwili unalipa ada.

Mwanamke leo anavuliwa nguo zake anabaki uchi wa mnyama analiwa tunda na mwanaume ambaye hajawahi kumuwaza kabisa ili tu apate ajira aendeshe maisha yake.

Mwanamke wa chuo leo anavuliwa chupi na mkufunzi wake ili apewe alama za kumwezesha kuendelea kubakia chuo kesho na kesho kutwaa aende kuishi maisha mazuri yeye na familia yake.

Mwanamke
Mwanamke
Mwanamke

MWANAUME
Wanaume tunaishi ili tufanye mapenzi, yaani tunafanya harakati zetu ila mwisho wa siku tule mbususu tunazozihitaji, tunazoziota, mbususu safi na salama.

Jamii imemualisha mwanaume atafute hela bila hivyo hatolamba mbususu safi kamweee.

Mwanaume leo yupo tayari kuigharimu afya yake ili apate hela ya kumridhisha mwanamke fulani.

Mwanaume leo anapigwa na jua kutwaa mzima kutembeza karanga jioni akampe hadija hela ya kijola ili penzi liendelee kuwa la furaha.

Mwanaume leo ananyanyua mizigo (kuli) apate hela ya kununua simu toleo jipya aliyomuaidi jack.

Mwanaume leo anatafuta Kila njia ili aweze kumlizisha mwanamke kitandani, mkongo, alikasusi sijui na uchafu uchafu mwingine.

Mwanaume leo anautumia muda wake mwingi Gym ili awe na mwili wa kumvutia mwanamke.

Mwanaume leo yupo tayari aundoe uhai wa mwanaume mwenzake kisa kalala na mkewe.

Mwanaume leo yupo ladhi ajiondoe uhai wake kisa kasalitiwa na mpenzi wake.

Mwanaume leo yupo tayari atumie mda wa miezi 12 aifukuzie mbususu.

Mwanaume
Mwanaume
Mwanaume

"kumbe wanawake wanafanya mapenzi ili kuendesha maisha yao, wakati wanaume tunaendesha maisha yetu mwisho wa siku tufanye mapenzi"

NB: Siyo wanawake wote wapo hivyo na sio wanaume wote tupo hivyo.

#OneDayYouWillBeGone
Dr. Criminal.
 
Katika kitu ambacho mwanamke anauhakika wa kuki utilize na kuishi bila nguvu basi ni uzuri wake na muonekano wake. It means akiwa wa kawaida ni sawa tu na mwanaume na atatakiwa kupambana kiume jambo ambalo mwanamke hajaumbiwa.

So mwanamke atatakiwa kukimbizana na muda kwa kutumia uzuri wake kurubuni ili kuwa na security ya Maisha bila kutoka jasho na damu.

Ndio maana sex is the only option kwao. Usiwalaumu.
 
Katika kitu ambacho mwanamke anauhakika wa kuki utilize na kuishi bila nguvu basi ni uzuri wake na muonekano wake. It means akiwa wa kawaida ni sawa tu na mwanaume na atatakiwa kupambana kiume jambo ambalo mwanamke hajaumbiwa.

So mwanamke atatakiwa kukimbizana na muda kwa kutumia uzuri wake kurubuni ili kuwa na security ya Maisha bila kutoka jasho na damu.

Ndio maana sex is the only option kwao. Usiwalaumu.
Sawa mkuu
 
NB: Siyo wanawake wote wapo hivyo na sio wanaume wote tupo hivyo.

Hapa ngoja nikurekebishe kidogo inatakiwa iwe hivi

NB:Siyo wanawake wote wapo hivyo na wanaume wote tupo hivyo

Hata mahanisi wanahonga
 
Back
Top Bottom