Hata sielewi, sasa nani ndio alitaka kumbaka mwingine?
Mange mbakajiHata sielewi, sasa nani ndio alitaka kumbaka mwingine?
Kana roho mbaya sana kale....kwa hiyo aliona Ali atafaidi sana.Angekubal Tuu
😀😀😀😀😀 Kwa hiyo Mange alitaka kumbaka.....
Weka full mbona imekatika
Amemjibu Mange!!! ShamefullAlikiba akiwa kwenye kipindi cha mahojiano cha Salama Jabir. Amefunguka kwamba alinusurika kubakwa nchi Marekani.
Jambo hili lilitokea after party show iliyofanyika kwenye chumba kimoja cha baadhi ya vyumba alivyokuwa amekodi kwenye hotel.
Alijisikia kuchoka na kuhamua kwenda kujipumzisha chumba chake alichokodi. Lakini baadae alitushwa na wadada watatu walioingia chumbani kwake.
Wazungu wanamsemo, “Every coin has two sides”!
Nyiee au ni Mange alitaka mbaka 😹Alikiba akiwa kwenye kipindi cha mahojiano cha Salama Jabir. Amefunguka kwamba alinusurika kubakwa nchi Marekani.