duh wabongo kazi kweli, kina celine dion wanajaza kumbi wanachezaga au?hivi pale kati alisema how could I find you?
video nzuri sasa ni wakati wake atoe nyimbo ambazo zinachezeka ili akiandaa shoo atleast ukumbi uchangamke. Maana huko ndio tageti ya wasanii kukusanya mapene.
haya mwambie akajaze.duh wabongo kazi kweli, kina celine dion wanajaza kumbi wanachezaga au?
duh wabongo kazi kweli, kina celine dion wanajaza kumbi wanachezaga au?