kui
JF-Expert Member
- Mar 2, 2009
- 6,467
- 6,500
mnanitingisha mjue,nakariri kifaransa mie.
Heaven Sent unaona hii, anakariri hivoo!
Akimaliza hapo anaimba mwimbo wote kwa kifaransa, hii ya Ali Kiba itakuwa cha mtoto!
mnanitingisha mjue,nakariri kifaransa mie.
khaaah!! kifaransa chenyewe kimenishinda najing'ata ng'ata tu, yaani kiba muache tu, anajua kunikosha.Heaven Sent unaona hii, anakariri hivoo!
Akimaliza hapo anaimba mwimbo wote kwa kifaransa, hii ya Ali Kiba itakuwa cha mtoto!
WhereAje Remix is Coming Soon