109 hiyo, mandolin spare zake mpaka spoku na visoda
Kibo10 ipo wap hi mando? Kama inauzwa ni pm[/
Hizi mando zipo sana Moshi na Arusha..wanaendesha sana wazee..ukimuangalia umri wake na gari zinaendana
Salama kiongozi, Mjapani amerahisha kazi siku hizi anatengeza vitu kwa kutumia chuma laini na bodi nyepesi kama bati la debeAhahahaa..umenichekesha aisee..vipi lkn salama ndg yangu..
Zipo mkuu mererani arudha ziko kibao zinapeleka maji migodini au yale ma break down ya barabarani si unaziona au wewe uko mkoani mkuuNi kweli kabisa maana hii gari naona ni sawa sawa na Roho ya paka shume na sijui kama bado zipo au zishapotea kitambo
[emoji3] [emoji3] [emoji3]109 hiyo, mandolin spare zake mpaka spoku na visoda