kila sehemu ukitakiwa na mwenye kwake dunia nzima itakuwa hakuna mwenye kwao, katika historia sio tu ya biblia bali hata ya kidunia hao waisraeli hawajawahi kuishi hapo kwao peke yao, kwanza walikuta watu wapo, hawakufikia maporini kulikuwa na watu, haonwapalestina sio wahamiaji hapo, nao ni wazawa vilevile