AliExpress, Alibaba or eBay etc.

AliExpress, Alibaba or eBay etc.

Sio kweli Alibaba Hawatumi kwa PoBox Hadi uwe na shipping agent China Wao watatuma kwake yeye huyo agent wako yeye atajua atatumaje kwako na mara nyingi mizigo wa Alibaba huja kwa meli kwasababu wao huuza jumla

labda sielew ila naomba unielezee huu mzgo nilioagiza china direct nikachukulia posta pale kwa address ya posta
IMG_6035.JPG
IMG_6036.JPG
IMG_6037.JPG
IMG_6038.JPG
IMG_6040.JPG
IMG_6041.JPG
IMG_6042.JPG
IMG_6044.JPG
IMG_6046.JPG
 
Sidhani Kama upo sahihi nijuavyo Alibaba na AliExpress mmiliki ni mmoja.
Alibaba wanauza jumla na AliExpress mojamoja(rejareja)

acha kukariri mzee alibaba kuna chat ya message kama hyo niliyopost hapo nilinunua lcd display moja tu tena kwa bei ya jumla it depends na ww unavyoongea na muuzaji husika mzee
 
Pamoja mkuu
Mkuu samahani kwa usumbufu,nmefungua kama ulivyoelekeza pale juu imekubali vizuri,tatizo limekuja nmetaka kununua saa imeshindikana wanasema "your payment exceeds the card limit" sijaelewa wakati kwenye account ya mpesa kuna hela ya kutosha.Ufafanuzi kidg hapo mkui
 
na ukisha lipia kwa uyo muuzaji jukumu la kusafilisha ni la muuzaji kama ilivyo Ali Express ama na njia ya kupokea c ile ile posta ama utalatibu unabadilika
 
yap ndo maana yeye alinipa tracking no. baada ya kuship mzgo
 
Mkuu samahani kwa usumbufu,nmefungua kama ulivyoelekeza pale juu imekubali vizuri,tatizo limekuja nmetaka kununua saa imeshindikana wanasema "your payment exceeds the card limit" sijaelewa wakati kwenye account ya mpesa kuna hela ya kutosha.Ufafanuzi kidg hapo mkui
hiyo card ina kikomo cha amount ya malipo kwa mda huu inatakiwa isizidi amount flani i.e isizidi 50000
 
Back
Top Bottom