AliExpress, Alibaba or eBay etc.

AliExpress, Alibaba or eBay etc.

Nna account ya CRDB nmeshailink na online purchase Ila nashndwa kufungua na kuvelify account ya PayPal
 
mizigo unachukulia posta jaza sanduku la posta lolote hata la kanisa ukishatumwa unafanya tracking ukifika watatkutumia meseji wasipotuma wafuate posta mie naagiza mara nyingi sijaibiwa hata mara moja, sasa wizi hakun aposta labda mzigo upotelee huko huko juu, posta ndio biashara yao kubwa kwa sasa.
 
kwenye option za kutuma chagua aliexpress standard shipping wana chaji kidogo ukitumia china post utasubiria karibia mwezi mzigo ufike.
Inategemea na seller mkuu... Mmi nimetumia china post less than 15 days 2 times mzigo ukafka
Screenshot_20180915-125533.jpg
 
IMG-20180915-WA0001.jpeg

Kwa miaka mitatu sasa nimekuwa online shopper na ninapata mizigo on time, ila kuna changamoto kama kuchelewa kwa parcels na mizigo kupotea intransit, but ni mara chache kupata incident kama hizo. Kiukweli kuna baadhi ya bidhaa upatikanaji wake ni wa tabu sana hapa nchini. Lakini pia ukiagiza una save kiasi kikubwa cha pesa kuliko kununua hapa TZ.
 
Help plz!! Mfano umeshanunua product online mfano simu or laptop ikasafirishwa inafikia Dar?, Then wana office zao (mawakala) or unapokea mtu uliyeagiza? Or inafika hadi mkoa ulioandikia address? Mfano Dodoma urban. Na hyo free shipping inaishia wapi?

unategemea na liseller hakufikishie wapi mfano DHL,tanzania posta hiyo kama kupitia sanduku lako laposta njia ya mizigo na mawakala ambao wapo katika nchi aliyopo huyo muuzaji na nchi yako,ukitaka kujua mengi pm
 
View attachment 866933
Kwa miaka mitatu sasa nimekuwa online shopper na ninapata mizigo on time, ila kuna changamoto kama kuchelewa kwa parcels na mizigo kupotea intransit, but ni mara chache kupata incident kama hizo. Kiukweli kuna baadhi ya bidhaa upatikanaji wake ni wa tabu sana hapa nchini. Lakini pia ukiagiza una save kiasi kikubwa cha pesa kuliko kununua hapa TZ.
Nami nina majanga ya kupotelewa mzigo in transit aisee
 
Hivi mfano nikinunua bidhaa kwenye mtandao wa alibaba wenye thamani ya US dollar 135, shipping Usd 50, uzito kg 1.5 mpaka kufika bongo kodi itakuwa shilling ngapi?? Yaan mpaka hiyo bidhaa niiweke mkononi itanigharimu kiasi gani???
 
free shipping , hua inafikia kwa PO BOX, na ndo iko ivyo!

na inachukua masiku mengii kufika, yaani ukiagizia inabidi usahau kabisa!

posta ni wezi kinoma, kua tayari kwa ilo, mzigo unafikia posta kuu dar kwanza (kuna wizi uliokithiri) then ndio wana dispatch kwa posta ndogo ndogo(hapa ndo kuna ule wizi wa rejareja)
Hayo mambo ya wizi ni uongo mtupu,mimi hadi sasa hivi nimenunua zaidi ya item 200 mtandaoni kutoka kwenye masoko ya banggood,aliexpress,ebay e.t.c kuanzia saa,nguo,simu,mikanda ya suruali,ving'amuzi vya FTA,CCTV camera e.t.c ila hakijawahi kuibiwa wala kupotea kitu hata kimoja!!
 
utakua unafanya kazi tpc, si bure!
 
utakua unafanya kazi tpc, si bure!
Wala,tena nipo Lindi na mizigo yangu yote huwa inakuja kupitia sanduku la posta la ofisini kwetu.Hata hii simu ninayotumia kuandika hapa nimeinunua Aliexpress na ilifika in less than two weeks!
 
Wala,tena nipo Lindi na mizigo yangu yote huwa inakuja kupitia sanduku la posta la ofisini kwetu.Hata hii simu ninayotumia kuandika hapa nimeinunua Aliexpress na ilifika in less than two weeks!

Mkuuu naomba nijuze utaratibu wa kuagiza vitu kwa AliExpress mimi nataka kuagiza pia please naomba nisaidie nianzie wapi
 
Back
Top Bottom