AliExpress, Alibaba or eBay etc.

AliExpress, Alibaba or eBay etc.

Haya mambo anayajulia sana mwalimu RCT

Sent using samsung galaxy grand prime pro
 
Usinunue alibaba,nunua aliexpress!.....Alibaba hawatumi kwenye sanduku la posta!

Nataka kuagiza baiskel zaidi ya mia Kutoka Alibaba.
Nahitaji ushaur wako hapa kiongozi.

—je, hiyo site ni sahihi Kwa bidhaa hiyo!
—je, vipi kuhusu suala zima la kodi?
Mengineyo waweza kuniongezea Kwa faida.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ivi kama sina sanduku la posta na niko mikoani kwa mfano nikaandika po box songea ruvuma pamoja na namba ya simu mzigo nitaupata na hapa kwenye zip code nilazima kujaza
 
Achana na mambo ya posta kwamfano mimi nimewahi mala nyingi kununu vitu vidogovidogo toka uchina natumiwa mizigo yangu na kampuni ya kusafirisha vifurushi inaitwa ARMEX,jamaa wananiletea mpaka nilipo bila shida yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom