SangaweJr
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 2,990
- 2,669
Vodacom sasa hivi wamerahisha mambo so darasa halitakuwa kubwa sana zaidi nikuwa na profile AliExpress yenye taarifa zako sahihi...Mkuuu naomba nijuze utaratibu wa kuagiza vitu kwa AliExpress mimi nataka kuagiza pia please naomba nisaidie nianzie wapi
..labda uwe mshua