Aliefanikiwa kutatua tatizo la wadudu walambao darini anisaidie

sanalii

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,434
5,096
Nimesoma thread kutoka 2016 ila zote sijapata jibu kwakua baadhi ya michango imekataliwa kua haifanyi kazi,

Naomba kama mtu alifanikiwa kuondoa hawa wadudu wala mbao ambazo tayari zimeshapigwa kwenye kenchi anisaidie .

Shukran
 
Bila shaka hao wadudu ni wale wadudu weusi wenye viantena viwili kama Mende, ulitumia mbao zilizowekwa dawa (treated)?
 
mkuu...unacho takiwa kufanya ni kupaka oil...wanaita oil chafu...hakikisha unazipaka mbao zote...ila kagua kwanza uone uharibifu uliofanyika kama wametafuna mbao zote ama lah...

lakini oil chafu ni. mwisho wa matatizo ya hao wadudu...!​
 
Shukran, ngoja nikipange kufanya hiyo kazi
 
Nimesoma thread kutoka 2016 ila zote sijapata jibu kwakua baadhi ya michango imekataliwa kua haifanyi kazi,

Naomba kama mtu alifanikiwa kuondoa hawa wadudu wala mbao ambazo tayari zimeshapigwa kwenye kenchi anisaidie .

Shukran
Mbona dawa zipo unamuita tu mtu anakuja kupaka huko huko juu.mim nilienda sehemu nikakuta wadudu wanashambulia mbao ikabidi nimwambie mwenye nyumba.

Alienda kununua dawa alivyopaka mpaka leo nikienda juu ya dali nakuta kuko poa
 
Dukani dawa za kchongo nyingi sana
 
Mbona dawa zipo unamuita tu mtu anakuja kupaka huko huko juu.mim nilienda sehemu nikakuta wadudu wanashambulia mbao ikabidi nimwambie mwenye nyumba.

Alienda kununua dawa alivyopaka mpaka leo nikienda juu ya dali nakuta kuko poa

tukipata jina la dawa itapendeza
 
Oil chafu ni kiboko. Mie kun wadudu Walikuw Wanakula Chaga za kwny kitanda. Nilizipaka oil Chaga zote mpak Leo sijaskia mdudu yeyt Wal unga WA mbao siuoni.
 
hili sasa ni tatizo sana. hizi mbao wanatuuzia wanasema ni treated kumbe hamna kitu. Mimi pia ni mhanga wa hili, nitapaka oil chafu kama mlivyoshauri.
 
Back
Top Bottom