BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
Acha utoto........
Mimi nina miaka 18,vipi ninaweza kupata nafasi kunako ndani ya moyo wako dear?piga moyo konde ndugu
Sasa kama ni hivyo aende amuombe mkewe ambae ni kijana, sasa anakuja vipi kuniomba mm, mm Sina hizo pesa, huyo mke mzee aliemkataa ndio mwenye hizo million kumi na tanoObjectively ni kweli umeoa mzee, sasa kuambiwa ukweli tatizo liko wapi???Kwani ni uongo kuwa umeoa mzee? Mwanamke mwenye miaka 55 ni kijana???
Objectively ni kweli umeoa mzee, sasa kuambiwa ukweli tatizo liko wapi???Kwani ni uongo kuwa umeoa mzee? Mwanamke mwenye miaka 55 ni kijana???
Broo pamoja na kuwa na roho mbaya ya kutotaka kumsadia mdogo wako una moyo, 55 kwa 34 si menopause hiyo, yaani wewe una 40 yeye ana 61 wewe una 50 yeye ana 71?Wadau nawasalimu,
Kuna mdogo wangu ambae wakati naoa aliendesha kampeni ya kunitangaza vibaya kuwa naoa mwanamke mzee, alizunguzuka kwa ndugu na jamaa akisema maneno hayo, ni kweli mke wangu amenizidi umri nina 34 yeye ana 55 hata hivyo tulipendana hivyo hivyo tukaamua kuoana, ndugu zangu wengi walipinga ndoa hiyo, upande wa mke wangu ndio ilikua balaa hasa watoto wa mke wangu walidai nimemuoa mama yao kwa sababu ya pesa lakini sikujali, tukafunga ndoa na tunaendelea kuishi kwa amani
Sasa, huyo mdogo wangu amejikuta yupo kwenye matatizo, nyumba anayoishi na familia yake inatakiwa kurudishswa kwa mmiliki wa awali baada ya mmiliki huyo kushinda kesi mahakamani dhidi ya mdogo wangu, ama alipe fidia kiasi cha million kumi na tano au aachie nyumba (kiwanja) ndani ya miezi sita awe amelipa pesa hizo, zimebaki wiki mbili ama Tatu ikamilike miezi sita na hajafanikiwa kupata pesa hizo, ni wazi kiwanja kinarudishwa kwa mshindi wa kesi
Hivyo amekuja kwangu kuniomba msaada wa hizo 15 million ili akomboe kiwanja chake, maana kwenye kesi wanamgombania kiwanja Ingawa yeye ndie amewahi kujenga hapo, hivyo panatakiwa kubomolewa kama atakosa pesa hizo, baada ya kunieleza tatizo hilo pia akamueleza mke wangu, mm kwa sasa hela zangu ziko kwenye mizunguko ila mke wangu yeye anazo na yupo tayari kumsaidia kama mm nikikubali na kutoa go ahead, ila nimekataa kwa udhalilishaji alionionesha wakati naoa
Huyu bwana mdogo alinidhalilisha sana wakati naoa huyu mwanamke, nimeshangaa sana leo anakuja kuomba msaada kwa huyu huyu mwanamke aliedai ni mzee kwamba nabemendwa na kadhalika,
Sasa yeye ameoa binti mdogo wanaelingana rika sasa ampe hizo pesa, mm nilikua nna maana yangu kuoa huyu mama, nimeshahangaika na masista duu sana nawajua ukiyumba kidogo tu anakimbia, sasa ngoja tuone huyu wa kwake kama kama atastahimili hii tufani
Wadau mlikua mnasemaje au tumsaidie tu?
Acha roho mbaya mkuu kwani uongo hujaoa mzeeSasa kama ni hivyo aende amuombe mkewe ambae ni kijana, sasa anakuja vipi kuniomba mm, mm Sina hizo pesa, huyo mke mzee aliemkataa ndio mwenye hizo million kumi na tano
Sasa logic ipo wapi hapo? Sasa utasaidiwaje na mtu uliedai mzee?
Acha wamvunjie nyumba tu
Duh,kashapiga konde mkuu,kuoa mtu wa miaka 55 we unaona kazi ndogopiga moyo konde ndugu
Kwa hiyo serious kabisa unampenda mbibi wa 54 yrs. Huyo atakuzalia kweli au huna mpango wa mtoto kwa sasa. Yeye ana watoto?? Kama wapo wanakuchukuliaje??Parefu maana yake nn?
Mbona uchi wake ni mzuri kushinda nyuchi zote nilizowahi kukutana nazo, unaungwa vizuri na viungo na marashi, unawekwa kwenye chetezo, unabana, nafanyiwa yote ambayo sikufanyiwa wakati nahangaika na hao masista duu mnaowataka nyinyi
Tangu tumeoana sijawahi kuoga mwenyewe, nakogeshwa kila siku halaf wewe unauliza napata raha gani? Aisee, be serious
Wewe unadhani alikuwa anaongea uongo?Wadau nawasalimu,
Kuna mdogo wangu ambae wakati naoa aliendesha kampeni ya kunitangaza vibaya kuwa naoa mwanamke mzee, alizunguzuka kwa ndugu na jamaa akisema maneno hayo, ni kweli mke wangu amenizidi umri nina 34 yeye ana 55 hata hivyo tulipendana hivyo hivyo tukaamua kuoana, ndugu zangu wengi walipinga ndoa hiyo, upande wa mke wangu ndio ilikua balaa hasa watoto wa mke wangu walidai nimemuoa mama yao kwa sababu ya pesa lakini sikujali, tukafunga ndoa na tunaendelea kuishi kwa amani
Sasa, huyo mdogo wangu amejikuta yupo kwenye matatizo, nyumba anayoishi na familia yake inatakiwa kurudishswa kwa mmiliki wa awali baada ya mmiliki huyo kushinda kesi mahakamani dhidi ya mdogo wangu, ama alipe fidia kiasi cha million kumi na tano au aachie nyumba (kiwanja) ndani ya miezi sita awe amelipa pesa hizo, zimebaki wiki mbili ama Tatu ikamilike miezi sita na hajafanikiwa kupata pesa hizo, ni wazi kiwanja kinarudishwa kwa mshindi wa kesi
Hivyo amekuja kwangu kuniomba msaada wa hizo 15 million ili akomboe kiwanja chake, maana kwenye kesi wanamgombania kiwanja Ingawa yeye ndie amewahi kujenga hapo, hivyo panatakiwa kubomolewa kama atakosa pesa hizo, baada ya kunieleza tatizo hilo pia akamueleza mke wangu, mm kwa sasa hela zangu ziko kwenye mizunguko ila mke wangu yeye anazo na yupo tayari kumsaidia kama mm nikikubali na kutoa go ahead, ila nimekataa kwa udhalilishaji alionionesha wakati naoa
Huyu bwana mdogo alinidhalilisha sana wakati naoa huyu mwanamke, nimeshangaa sana leo anakuja kuomba msaada kwa huyu huyu mwanamke aliedai ni mzee kwamba nabemendwa na kadhalika,
Sasa yeye ameoa binti mdogo wanaelingana rika sasa ampe hizo pesa, mm nilikua nna maana yangu kuoa huyu mama, nimeshahangaika na masista duu sana nawajua ukiyumba kidogo tu anakimbia, sasa ngoja tuone huyu wa kwake kama kama atastahimili hii tufani
Wadau mlikua mnasemaje au tumsaidie tu?
Mkuu hao wako pamoja kupeana mahaba tu..Sidhani kama wanafikiria watotoKwai Sara alizaa akiwa na umri wa miaka mingapi?
hahahahhahahahhahhahaWewe unadhani alikuwa anaongea uongo?