Alidai nimeoa bibi kizee, sasa anaomba msaada

Ulitaka niwatangazie watu kwamba nimefuata pesa?

Ulitaka niwatangazie ndugu kuwa jamani nimeoa huyu mama kufuata pesa?

Off course alinipenda mwenyewe na kuomba nimsitiri yaani nimwoe, Ingawa kiukweli ni mzuri, huo umri mnauona ni umri mkubwa lakini ukimwona ni kama yupo some where 35 hivi, kwa hiyo sio tu pesa pekee, mvuto pia anao
Infact naridhika kimapenzi kuliko nilivyokua natoka na wanawake wa rika langu
Asante sheiky ujafanya makosa
Kula ngurue haramu ila ukiamua kula mle alio nona
 
Na unajua wewe kitandani uko weak mdogo wako anapiga had pushups on bed acha amsaidie coz baadae watasaidiana!
Angekua anapiga hadi push-ups asingemfumania mkewe kitandani na mwanaume mwingine na bado akamsamehe, ni wazi yy ndio mchovu that's why akamsamehe mke mzinzi

More over, Huyu mke wangu aliikubali kazi yangu ya kitandani ndio maana akaomba nimsitiri tufunge ndoa kabisa

So usiongee usivyovijua, una imagine things
 
Naona mada imebadilika tayar, tatizo wanaotoa majibu ya hovyo hapa wamekosa Tu hiyo nafasi ya kupata mtu mzima mwenye pesa zake na alietulia, vijana kila simu hapa jukwaani wanalialia Mara ajira ooh Mara nimeombwa 50 elfu ooh binti kicheche, sasa nafasi kama ya huyu mwenzao wanaimezea mate, Kwan kama kaoa mtu mzima nyie kinawauma nini kama sio wivu???
 
Swali la kizushi mfano ww ndo ungekuwa tajiri unaela alafu uyo mama Hana ela je ungekuwa????
Au ungekuwa na kina wema sepetunga
Maisha ni kusaidiana mkuu, kama mwanaume tajiri mwenye pesa anavyoweza kumchukua binti maskini na kumbadilisha na kumpa maisha mazuri, kuitoa familia nzima ya binti kwenye dimbwi la ufukara na kuipa maisha mazuri, hivyo na mwanamke tajiri anaweza kumpenda mwanaume maskini na kumpa maisha
Tatizo wanawake wamekua wa binafsi wanataka hiyo scenario itokee kwao tu

As for age, refer to mengi and kyln's case, ikiwa binti wa 20 anaolewa na babu wa 80 hamsemi tena mnawapongeza kuwa wamependeza kweli ila ikiwa vice versa mnaanza kusema ni marioo
 
Basi kama maisha ni kusaidiana msaidie dogo then akilipa Deni mwite sehemu muwe mnapata chakula umpe ya moyoni yaani mseme mpaka akome unafki na mtolee mfano kabisa nisinge owa leo hii nyumba yako ilikua inavunjwa kwaiyo usiwe unaangalia leo tu Mdogo wangu kuna kesho pia
 
Mkuu umeeleweka
Sijui kama nimeeleweka vizuri, naomba niweke hivi

Mm sikwenda kumuomba ushauri wakati nataka kuoa, sababu kuoa ni uamuzi wangu binafsi, hata yeye hakuja kuniomba ushauri wakati anaoa

Hivyo alichokifanya yeye ni majungu, alitembea kila kaya katika ukoo akipika majungu na kunisema vibaya, tena kwa matangazo makubwa, ni ukosefu mkubwa wa adabu kwa kaka yako
Sasa leo kinachomleta leo kuomba msaada kwa huyu huyu mwanamke mzee ni kipi? Je morally inakubalika? Mtu uliedai mzee hafai leo akusaidie inakuja?
Mbona hoja hii mnaikwepa kila nikiisema hamjibu?

Ni sawa na kumuita ndugu yako jambazi na unamtangaza kote kuwa mali zake amepata kwa ujambazi, halaf kesho unapata tatizo unaenda kwa huyo jambazi kuomba msaada, Je upewe huo msaada kweli?

Nijibuni
Umeeleweka kabisa mkuu...ila tunakushauri tu usilipe baya kwa baya...dogo akinyang'anywa hiyo nyumba ataendelea kubisha hodi kwako kukuomba msaada..
Msaidie tu dogo...na atakua amejifunza.
Tenda wema tu ndugu.
 
Wadau nawasalimu,

Kuna mdogo wangu ambae wakati naoa aliendesha kampeni ya kunitangaza vibaya kuwa naoa mwanamke mzee, alizunguzuka kwa ndugu na jamaa akisema maneno hayo, ni kweli mke wangu amenizidi umri nina 34 yeye ana 55 hata hivyo tulipendana hivyo hivyo tukaamua kuoana, ndugu zangu wengi walipinga ndoa hiyo, upande wa mke wangu ndio ilikua balaa hasa watoto wa mke wangu walidai nimemuoa mama yao kwa sababu ya pesa lakini sikujali, tukafunga ndoa na tunaendelea kuishi kwa amani

Sasa, huyo mdogo wangu amejikuta yupo kwenye matatizo, nyumba anayoishi na familia yake inatakiwa kurudishswa kwa mmiliki wa awali baada ya mmiliki huyo kushinda kesi mahakamani dhidi ya mdogo wangu, ama alipe fidia kiasi cha million kumi na tano au aachie nyumba (kiwanja) ndani ya miezi sita awe amelipa pesa hizo, zimebaki wiki mbili ama Tatu ikamilike miezi sita na hajafanikiwa kupata pesa hizo, ni wazi kiwanja kinarudishwa kwa mshindi wa kesi

Hivyo amekuja kwangu kuniomba msaada wa hizo 15 million ili akomboe kiwanja chake, maana kwenye kesi wanamgombania kiwanja Ingawa yeye ndie amewahi kujenga hapo, hivyo panatakiwa kubomolewa kama atakosa pesa hizo, baada ya kunieleza tatizo hilo pia akamueleza mke wangu, mm kwa sasa hela zangu ziko kwenye mizunguko ila mke wangu yeye anazo na yupo tayari kumsaidia kama mm nikikubali na kutoa go ahead, ila nimekataa kwa udhalilishaji alionionesha wakati naoa

Huyu bwana mdogo alinidhalilisha sana wakati naoa huyu mwanamke, nimeshangaa sana leo anakuja kuomba msaada kwa huyu huyu mwanamke aliedai ni mzee kwamba nabemendwa na kadhalika,

Sasa yeye ameoa binti mdogo wanaelingana rika sasa ampe hizo pesa, mm nilikua nna maana yangu kuoa huyu mama, nimeshahangaika na masista duu sana nawajua ukiyumba kidogo tu anakimbia, sasa ngoja tuone huyu wa kwake kama kama atastahimili hii tufani

Wadau mlikua mnasemaje au tumsaidie tu?
Kwanza ni fact kuwa ulioa mtu anayekuzidi umri mno hivyo dogo alikuwa sahihi sana.Pia inaonekana mdogo wako ni muangaikaji kukuzidi,wewe unalelewa hiyo kusema sijui pesa yako iko katika mzunguko ni zuga tu lakini dogo kajenga nyumba ni bahati mbaya tu uwanja kumbe ulikuwa unamnunuzi mwingine pia.Maisha ni safari husipomruhusu huyo mmama amsaidie bila shaka Mungu atamuinua mtu mwingine amsaidie au hata nyumba ikibomolewa Mungu atamuwezesha tena pengine zaidi ya mahali alipo sasa.Kumbuka huyo ndiye ndugu yako ni gurantee kuwa ukitangulia mbele za haki na mkeo ni yeye atawaangalia wanenu (kama umebahatika kuzaa na huyo mmama).
 
Hoja yako haina mashiko, Bahati nzuri nimefafanua wakati najibu Hoja za wachangiaji mbali mbali ikiwemo comment iliyopita kabla hii ya kwako, labda kama majibu hayajakuridhisha, ila nina Hoja za msingi sana

Narudia tena, nisingeoa huyu mwanamke mzee yeye angepata nguvu za kuja kuomba hiyo 15 million? Jibu ni hapana, kabla ya kumuoa huyu maisha yangu anayajua kuwa Sina hizo pesa, hivyo kaja kuomba akijua wazi huyu mke wangu anazo hizo pesa, sasa unapataje nguvu kuomba pesa kwa mtu uliedai mzee na ulidai asiolewe?

Kama huyu mdogo wangu ni mchakarikaji ameshindwaje kupata kwingine hii pesa hadi kujidhalilisha hadi kuja kumuomba mtu aliemsema vibaya hapo mwanzo?

Mkewe wa ndoa alizini na mwanaume mwingine mwaka 2013 yeye akiwa safari ndani ya kitanda cha ndoa, pamoja na watu ikiwemo wazazi wetu kupiga kelele kuwa ampe talaka huyo mwanamke lakini mdogo wangu hakumpa mkewe talaka, na anae hadi leo, katika mgogoro huo wote nilikaa kimya, sikujihusisha nao kabisa, maana naheshimu uamuzi wake, wala sikuzunguka kumtangaza, Je Kuna kitu kikubwa kwenye maisha kama mkeo kukusaliti?
Sasa mbona mm niliheshimu mawazo na uamuzi wake? Nilijua Kuna maisha baada ya suala hilo

Hivyo na yeye alipaswa kuelewa Kuna maisha mengine mbali na suala langu la kuoa huyu mke wangu aliedai mzee, maisha hayaishii kwenye suala hilo
Ni wazi huyu dogo hana ukomavu kwenye maisha
Alichokifanya ni kutembea kote akipika majungu na kunidhalilisha kila kona, Leo anakuja kuomba msaada hapo hapo alipotukana, haiwezekani

Badala ya kufanya alivyofanya, ni heri angekuja kwangu straight away na kunitazama usoni na kuniambia mm mwenyewe kwamba kaka uamuzi wako sio sahihi ningemwelewa, lakini hakufanya hivyo, badala yake alienda kupika majungu

By the way unafahamu ni kwa nn katika miezi sita yote aliyopewa na mahakama kulipa hizo pesa hakuja kwangu hadi zimebaki wiki mbili? Ni kwa sababu aliona aibu kuja kwangu kwa kitendo alichokifanya, sasa amekuja as a last resort hana jinsi afanyeje? Aliowatuma wote walikataa ndipo akaja mwenyewe

Hoja yako kuhusu mm kupenda mtelemko, majibu yangu kwako ni, hapa mjini huwa hatuulizi watu jinsi walivyo Pata pesa, Bila shaka unawaona tu watu wakitoka kwenye mageti ya kifahari, magari ya kifahari, maisha ya kifahari, huwa hatuwaulizi wamepataje, elewa tu kwamba the end justifies the means
 
Inaonekana una hasira sana na mdogo wako, punguza hizo hasira.. Amejifunza. Aidha kuhusu kuoa huyo dada ni uamuzi wako na wala usisikilize maneno ya wanajukwaa. Kwani ulikwishafanya maamuzi ambayo uliyaona ni sahihi. Umri ni namba endeea na maisha yako cha muhimu ni kuyafurahia maisha ambayo ni mafupi na kujijenga vilevile. Endapo ulikuwa unamtegemea hakikisha kuwa nawe unajijenga ili usimtegemee saana!
Watu hawajui kuwa hutokea ( hata kama si mara nyingi) kijana mdogo akampenda mtu mzima kwa dhati . Mifano mingi ipo! Tatizo tu endapo kijana hana pesa basi wengi hudhani sababu ni hiyo na wengine ni kwelilakini hatakuwa na raha ya maisha kwani hatakuwa na furaha. Nadhani niliwahi toa mfano hapa miaka ya zamani wakati nafundisha , kama huzingatii maadili hakika unaweza kukwazika. Alitokea kijana kutoka kwenye familia inayojiweza hivyo hakuhitaji any material thing kutoka kwangu. Nilikuwa nafundisha hesabu, he was very bright hence hakutaka favour yoyote ( fikiria mi mwalimu wa Sekondari yeye mwanafunzi wangu) I could feel his love wengine wanaweza toa definition nyingine lakini ndio hivyo, of course it was impossible ( hii ni kutokana tu na uamuzi wangu) kwa hiyo msibeze saana! Ila wazazi tuwafundishe mabinti wetu kuwa na heshima kwa waume zao ili wasije wakakimbiwa na vijana wa saizi yao! Jamani kwa wajuzi kuna fursa hapa ya kuwaongoza mabinti kuhusu mahusiano na maisha ya ndoa!
 
Yanafundisha kusameheana, hata hivyo dini mara nyingi ipo too lenient, ukiifuata dini all the time unaweza kukwama, wakati mwingine nature na common sense ndio vinatakiwa kutumika

Matatizo katika maisha humfanya mtu akomae, wacha apate hili tatizo ajifunze maisha through the hard way
Hilo la sheikh ni jina ama cheo?kuna ndugu wamefanyiana makubwa kuliko alokufanyia mdogo wako sisi waja mangapi tunamfanyia muumba na bado anatupa rizq mswamehe mfungue ukurasa mpya.
 
Sasa kama ni hivyo aende amuombe mkewe ambae ni kijana, sasa anakuja vipi kuniomba mm, mm Sina hizo pesa, huyo mke mzee aliemkataa ndio mwenye hizo million kumi na tano
Sasa logic ipo wapi hapo? Sasa utasaidiwaje na mtu uliedai mzee?
Acha wamvunjie nyumba tu
Wamvunjie nyumba au wasimvunjie... mumpe hela msimpe bado mkeo ataendelea kuwa mzee tu...
 
Uzee huo mnausema nyinyi hapo, mm kwangu ni kijana kabisa, nampenda mke wangu, napata mapigo mazuri sijawahi Pata tangu nimeanza kuhangaika na hao masista duu zaidi ya kupata maumivu, napewa vitu vizito mno

Mbona ya mengi na kyln mnadai ni mapenzi ila yangu mm ndio mnasema mzee, acheni hizo
 
Yaani haijalishi unapewa.mapigo mazito kiasi gani...haibadilishi kuwa mkeo.ni mzee..

Mrs machache nae hata afanye swaga gani bado mumewe ni mzee
 
Wadau nawasalimu,

Kuna mdogo wangu ambae wakati naoa aliendesha kampeni ya kunitangaza vibaya kuwa naoa mwanamke mzee, alizunguzuka kwa ndugu na jamaa akisema maneno hayo, ni kweli mke wangu amenizidi umri nina 34 yeye ana 55 hata hivyo tulipendana hivyo hivyo tukaamua kuoana, ndugu zangu wengi walipinga ndoa hiyo, upande wa mke wangu ndio ilikua balaa hasa watoto wa mke wangu walidai nimemuoa mama yao kwa sababu ya pesa lakini sikujali, tukafunga ndoa na tunaendelea kuishi kwa amani

Sasa, huyo mdogo wangu amejikuta yupo kwenye matatizo, nyumba anayoishi na familia yake inatakiwa kurudishswa kwa mmiliki wa awali baada ya mmiliki huyo kushinda kesi mahakamani dhidi ya mdogo wangu, ama alipe fidia kiasi cha million kumi na tano au aachie nyumba (kiwanja) ndani ya miezi sita awe amelipa pesa hizo, zimebaki wiki mbili ama Tatu ikamilike miezi sita na hajafanikiwa kupata pesa hizo, ni wazi kiwanja kinarudishwa kwa mshindi wa kesi

Hivyo amekuja kwangu kuniomba msaada wa hizo 15 million ili akomboe kiwanja chake, maana kwenye kesi wanamgombania kiwanja Ingawa yeye ndie amewahi kujenga hapo, hivyo panatakiwa kubomolewa kama atakosa pesa hizo, baada ya kunieleza tatizo hilo pia akamueleza mke wangu, mm kwa sasa hela zangu ziko kwenye mizunguko ila mke wangu yeye anazo na yupo tayari kumsaidia kama mm nikikubali na kutoa go ahead, ila nimekataa kwa udhalilishaji alionionesha wakati naoa

Huyu bwana mdogo alinidhalilisha sana wakati naoa huyu mwanamke, nimeshangaa sana leo anakuja kuomba msaada kwa huyu huyu mwanamke aliedai ni mzee kwamba nabemendwa na kadhalika,

Sasa yeye ameoa binti mdogo wanaelingana rika sasa ampe hizo pesa, mm nilikua nna maana yangu kuoa huyu mama, nimeshahangaika na masista duu sana nawajua ukiyumba kidogo tu anakimbia, sasa ngoja tuone huyu wa kwake kama kama atastahimili hii tufani

Wadau mlikua mnasemaje au tumsaidie tu?
Msaidie huyo ni ndugu yako,hata hivyo alikuonea huruma kwa kuwa anakupenda
 
Yaani haijalishi unapewa.mapigo mazito kiasi gani...haibadilishi kuwa mkeo.ni mzee..

Mrs machache nae hata afanye swaga gani bado mumewe ni mzee
Bahati mbaya sana Hoja kuu sio uzee wa mke wangu, maana nilopomuoa nilimaliza Hoja hiyo,
Kupewa mapigo ni tija, hilo la kukosa mapigo linafanya maelfu ya wanandoa kwenda nje ya ndoa, kwa hiyo kama mwanamke wa 30s analala kama gogo kitandani huyo ndio mzee, anapitwa na huyu wa 55 sasa kati ya hawa wawili nani ni mzee?

Hivyo kwa kifupi mke wangu sio mzee ni kijana, si ajabu hata kwa muonekano akakuzidi wewe wa 20s, 30s 40s etc
 
Sijui kama nimeeleweka vizuri, naomba niweke hivi

Mm sikwenda kumuomba ushauri wakati nataka kuoa, sababu kuoa ni uamuzi wangu binafsi, hata yeye hakuja kuniomba ushauri wakati anaoa

Hivyo alichokifanya yeye ni majungu, alitembea kila kaya katika ukoo akipika majungu na kunisema vibaya, tena kwa matangazo makubwa, ni ukosefu mkubwa wa adabu kwa kaka yako
Sasa leo kinachomleta leo kuomba msaada kwa huyu huyu mwanamke mzee ni kipi? Je morally inakubalika? Mtu uliedai mzee hafai leo akusaidie inakuja?
Mbona hoja hii mnaikwepa kila nikiisema hamjibu?

Ni sawa na kumuita ndugu yako jambazi na unamtangaza kote kuwa mali zake amepata kwa ujambazi, halaf kesho unapata tatizo unaenda kwa huyo jambazi kuomba msaada, Je upewe huo msaada kweli?

Nijibuni
Acha kisirani kwanza acha kujiita shekhe hakuna shekhe mwenye roho ya visasi kama wewe, huyo ni Mdogo wako na alichokuwa anakifanya ni sahihi kabisa, huwezi kuoa mwanamke sawa na mama Yako katika tamaduni za kiafrika, otherwise abnormality ya uamuzi wako inaendana na maamuzi ya kutotaka kumsaidia Mdogo wako........... Kwanza huyo ajuza ana miaka michache tu atembelee mkongojo ni huyo Mdogo wako unayembania ndio atakuja kukusaidia na wala si huyo kikongwe.
 
Uzee huo mnausema nyinyi hapo, mm kwangu ni kijana kabisa, nampenda mke wangu, napata mapigo mazuri sijawahi Pata tangu nimeanza kuhangaika na hao masista duu zaidi ya kupata maumivu, napewa vitu vizito mno

Mbona ya mengi na kyln mnadai ni mapenzi ila yangu mm ndio mnasema mzee, acheni hizo
55 yrs hata vagina fluid haipo secreted acha kujidanganya na kujitia ujinga shekhe ubwabwa
 
Duuuu nimesoma kule ulivyo jieleza kuusu utapeli wako Wa uganga aiseeeee sina cha kuongeza
 
Back
Top Bottom