Alidai nimeoa bibi kizee, sasa anaomba msaada

Alidai nimeoa bibi kizee, sasa anaomba msaada

Msamehe tu huyo ni ndugu yako wa damu huyo mzee wa miaka 55 anakusikiliza wewe mumewe wa miaka 35 atakubali tu mumsaidie ndugu yako. Me naona umsamehe maana alijitoa muhanga kusema ukweli kabisa maana 55-35 unapata mtoto mkubwa kabisa hapo aliyefikia balekhe na pia mpiga kura Japo ndio hivyo wanasema age ain't nothing ila mhhh Ndi Ndi Ndiiii
 
DUNIANI KUNA MAMBO TENA YA KUSHANGAZA AISEE ACHA TUENDELEE KUSHANGAA MAAJABU HAYA
 
Msamehe tu si unajua vijana tena..Ila na wewe ni kweli umeoa mzee. 34 kwa 54 parefuu. Hivi unaenjoy chochote hapo au ndo unasubiria mirathi tu. Dunia ina mengi
 
kweli kipenda roho hula nyama mbichi, walisema wahenga, lakini 34 mpaka 55 palefu (soma paleeefu) ni kama mama na mtoto wake. mama akiwa amemzaa mtoto wake akiwa na miaka 21!!
maneno mengine mntatumia hamjui maana yake
kila mtu anamaanisha anavyojua ni kama uniambie takauchi kumamoto huko japan inatumika ni jina la kawaida tu sasa hapa jf na tz ni matusi kwahiyo tuliza mshono
 
Msamehe tu huyo ni ndugu yako wa damu huyo mzee wa miaka 55 anakusikiliza wewe mumewe wa miaka 35 atakubali tu mumsaidie ndugu yako. Me naona umsamehe maana alijitoa muhanga kusema ukweli kabisa maana 55-35 unapata mtoto mkubwa kabisa hapo aliyefikia balekhe. Japo ndio hivyo wanasema age ain't nothing ila mhhh Ndi Ndi Ndiiii
Whitehorse

Hadi makamo haya ya miaka 34 nimeona mengi nimetembea na wasichana wa rika zote, hadi nachukua mama huyu naelewa tofauti yake na hao watoto wa rika mnalotaka nyinyi, napewa vitu vizito mno vilivyoshiba, hivyo nimeridhika
Tunatachotaka mimi na mke wangu ni furaha endelevu, hatuhitaji watoto maana wote tuna watoto tuliopata huko nyuma na wenzi wengine, hivyo tunaishi wenyewe bila kelele zozote
 
kila mtu anamaanisha anavyojua ni kama uniambie takauchi kumamoto huko japan inatumika ni jina la kawaida tu sasa hapa jf na tz ni matusi kwahiyo tuliza mshono
mimi mshono situlizi na mfano wako wa kumamoto unakujaje hapa
 
Kwani mm sijui ni mwezi wa ramadhan? Upuuzi ni upi hapa? Au tuanze kushushiana aya za Koran hapa?
UPUUZI WAKO MBELE ZA ALLAH,UNA HELA MTU KAJA KUKUOMBA MSAADA UNATAKA KUMKOMESHA JE NDIO ULIVYOFUNZWA MADRASA?
 
Ila hii series nzuri sana, na ninapenda unavyo update ndoa yako na kila kinachojiri. Nasubiri more episodes to come, take your time as always
 
Msamehe tu si unajua vijana tena..Ila na wewe ni kweli umeoa mzee. 34 kwa 54 parefuu. Hivi unaenjoy chochote hapo au ndo unasubiria mirathi tu. Dunia ina mengi
Parefu maana yake nn?

Mbona uchi wake ni mzuri kushinda nyuchi zote nilizowahi kukutana nazo, unaungwa vizuri na viungo na marashi, unawekwa kwenye chetezo, unabana, nafanyiwa yote ambayo sikufanyiwa wakati nahangaika na hao masista duu mnaowataka nyinyi

Tangu tumeoana sijawahi kuoga mwenyewe, nakogeshwa kila siku halaf wewe unauliza napata raha gani? Aisee, be serious
 
sawa ni jina ila neno la kiswahili linatakiwa litumike kwa ufasaha ili wote tuelewe rio kwa maana yako
kwa hiyo hilo neno ufasaha wake ni upi anza sasa kunidadavulia neno jina mpunga
 
kwa hiyo hilo neno ufasaha wake ni upi anza sasa kunidadavulia neno jina mpunga
ngoja kwanza mbona upo mwendokasi bibie unapoaodika kitu uwe unajua wanaosoma ni watu ambao wanatakiwa waelewe
 
Hebu saidia mdogo wako lakini si ni ukweli umeoa mzee kwani alimsingizia.... Hebu acha hizo msaidie.
 
Kama mdogo wako na mkewe ni member humu jf, bilashaka ujumbe umewafikia sawia.
Lakini kama sio member humu jf, basi ulicho fanya ni sawa na kutuletea kipande cha simulizi ya mahusiano yako.

I'm Done
 
Back
Top Bottom