Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Huyo ni ndugu yako tuu hata ubinuke, maswala ya visasi karne hii hayapo. Kama una lengo la kumsaidia msaidie huwezi jua kesho yako ndugu, na hujui ukianguka nani atakaekunyanyua kama alikuwa mzee ulitaka akuambie ni kabinti?? Msamehe wala hakuwa na lengo mbaya, tena anakupenda sana ndo maana kipindi hicho akawa mkweli.

