Elections 2010 Alichosema Dr. Slaa kuhusu nyumba za Tembe na Mabango ya Mgombea

may be inside that house kuko hivi kwenye bedroom yake.
 

Attachments

  • Picture11.jpg
    Picture11.jpg
    54.6 KB · Views: 42
na hii ni lounge ya hiyo house, that will be the interior of that house, msichanganikiwe na exterior sides, ndani mwake kumetulia.
 

Attachments

  • Picture30.jpg
    Picture30.jpg
    45.5 KB · Views: 30
Dhambi kubwa sana kwa CCM hiyo na believe me nakwambia hawa jamaa wana laani na utaiona siyo muda mrefu sana
 

NEED WE SAY MORE? Ndio maana nasema umasikini mkubwa wa Watanzania upo kwenye fikra zaidi kuliko hata mali. Inahitajika kazi ya ziada kubadilisha mind-set za Watanzania ili tujikwamue kwenye tope hili la kutosonga mbele kimaendeleo. Dr. Slaa amewaambia Watanzania ''if you think education is expensive try ignorance''. Na ndio maana tunamuunga mkono kwa kuwa yuko tayari kula mihogo Ikulu ili watoto wasome bure.
 
Jibaba Bonge, hiyo nyumba uliyopost hapo ni kule majumbani kwetu; nyumba yenyewe inaanguka, tena kuna hilo bango la mmalizaji sijui huyo Bwn anaelewa jamani? Elimu ndio utakuwa ukombozi wa Mtanzania, vinginevyo bado tupo gizani. Chagua mkombozi wa wanyonge Slaa elimu bure.

You were born to win, but to be a winner,you must plan to win,prepare to win and expect to win. Zig Ziglar .
 
QUOTE=blackpepper;1177403]wajinga ndio waliwao..........[/QUOTE]

Na werevu ndio walao
 
Jamani, nadhani huyo mwenye nyumba ametumia hilo bango kuziba tundu lililokuwepo kwenye ukuta wa tembe lake. Kule vijijini wengi wanavaa t-shirts za CCM si kwa sababu wanataka kukitangaza chama hicho, bali hiyo ni nguo mpya ambayo wameipata katika kipindi cha miaka mitano iliyopita na ndio maana zinavaliwa sana

hapo umenena, hii ni hali halisi ya kijiji
 
Mimi nitashangaa sana iwapo kuna mfanyakazi wa serikali atakayetoa kura yake kwaJK, itakuwa ni zile hadithi za wagumu kuelewa na wepesi kusahau. Hivi ni wangapi tunaoweza kujenga nyumba bora kabla ya kupata kiinua mgongo? Tumesahau kabisa habari za waalimu kuchapwa viboko!!! ..... Haya tufanye basi hao wafanyakazi hawanipi hizo kura zao, halafu baada ya muda kidogo unapata hela kwenye account!!! Tunadanganywa kama watoto? Jamani imetoshaaa.
Kuna wanaosema eti haiwezekani kupungua kwa gharama za vifaa vya ujenzi, hawawezi kabisa kufikiri jinsi ambavyo hao CCM watakavyorejesha gharama wanazo invest kwenye makampeni yasiyokuwa na maana, wangapi wasiomfahamu Dr Slaa, kwani kuna picha zake zinazo zagaa kila mahali?.
 
Jamani mungu 2 ndo mwenye kuwaadabisha hawa ingawa 31oct 2nawapga rungu la kichwa
 
Ngarama za kampeni zinatokana na uwezo wa chama. Sikumsikia Slaa akisema Mbowe asitumie Helicopter 2005 kuwafikia wapiga kura na badala yake ajenge shule. Licha ya uwezo mdogo wa kifedha

Basi na Chadema pesa wanazotumia kufanya kampeni, wazitumie kujenga shule...

Don't be fooled by politicians...

mbowe ajenge shule?kwan alikuwa rais? Au alipaswa kumsaidia mkuu wakati anapoanguka anguka? Na uyu kuiga kuagiza elikopta? Tena kukodi elikopta kati ya july30 mpaka oct.31 ambako sheria hairuusu? Ivi uwa una tabia ya kujisomea kweli?mbona ubongo unaload pole pole sana?
 
Ngarama za kampeni zinatokana na uwezo wa chama. Sikumsikia Slaa akisema Mbowe asitumie Helicopter 2005 kuwafikia wapiga kura na badala yake ajenge shule. Licha ya uwezo mdogo wa kifedha

Basi na Chadema pesa wanazotumia kufanya kampeni, wazitumie kujenga shule...

Don't be fooled by politicians...

helikopta muhimu kijana tunafikaje vijijini kuwaondoa kwenye "false consciousness"
 
Back
Top Bottom