Alichonishauri Baba kuhusu ndoa,

Alichonishauri Baba kuhusu ndoa,

Ni kweli, lkn bila ya attraction hakuna Ndoa hapo, hilo halijadiliki kama kweli unataka Ndoa yako iwe na amani na furaha, hayo mengine unaweza kuyafanyia kazi, lkn kama hakuna attraction, na hii ni kwa wote wawili , sahau!
Tabia njema ya mke wako itakufanya usikumbuke kbs kama hana sexually attraction,
Sexually attraction bila tabia njema ni mzigo na muda siyo mrefu utaona hata sexually attraction inapungua.
Otherwise ubahatishe anavyo vyote siha njema na anakuvutia,na wewe vivyo hivyo hakika mtadumu.
 
Wewe sasa unaongelea upande mmoja, kwamba tabia njema ya Mwanamke, vipi kuhusu upande wa Mwanamke? Kama wewe imekuvutia hiyo unayoiita yake tabia njema, ni lazima na yeye pia akuone attractive kwake, isitoshe kama hakuna attraction ndiyo mtaishi lkn siyo kwa furaha, kama hakuna attraction hauwezi kummiss mwenzako, mambo mengine ni muhimu pia lkn yanajadilika hilo la attraction halina mjadala kama unataka kuishi kwa amani na upendo!
 
Nipe aina nyingine ya maisha yasiyo na changamoto, yasiyohitaji uvumilivu, hapo na mimi nitaungana na wewe kusema ndoa ngumu mno.

Otherwise hakuna maisha yasiyo na magumu, fanya uchaguzi wako then ishi kwa furaha.
 
Ogopa kupewa cheti(cha ndoa) kwanza kisha mtihani ndo unafata. Bora mtihani kwanza kisha cheti.
 
I like you, bila attraction hakuna ndoa
Sex siyo sex tu, bali sex ambayo ina attraction kati ya watu wawili, kama hiyo haipo, yaani kama hakuna attraction hakuna ndoa hapo ni kuvumuliana tu, na hapo ndipo kutembea nje kunapokuja kukiambatana na kupoteza uaminifu, ugomvi na mwishowe kumwagana!

Hivyo kama hakuna attraction baina ya watu 2, siwashauri waone kabisa, kwani hakuna kitu hapo itakuwa ni kuvumiliana ambapo ni sawa na kulazimishana, sasa mtalazimishana hadi lini?
Ndo hayo mambo ya mmoja akisafiri mwingine anafurahia na siku akirudi mwingine anakosa raha, inatakiwa ukisafiri mmoja anakosa raha kwa kumkosa mwenzake, kama mambo hayo hayapo, hakuna kitu hapo!
 
Wewe sasa unaongelea upande mmoja, kwamba tabia njema ya Mwanamke, vipi kuhusu upande wa Mwanamke? Kama wewe imekuvutia hiyo unayoiita yake tabia njema, ni lazima na yeye pia akuone attractive kwake, isitoshe kama hakuna attraction ndiyo mtaishi lkn siyo kwa furaha, kama hakuna attraction hauwezi kummiss mwenzako, mambo mengine ni muhimu pia lkn yanajadilika hilo la attraction halina mjadala kama unataka kuishi kwa amani na upendo!

Sure,physical attraction ni muhimu sana.hata mtu awe na sifa nyingine zote kama hajanivutia ni big NO.
Offcource kuvutiwa na mtu sio sifa inayojitosheleza au ya pekee ila ni ya muhimu sana japo mbeleni inaweza kupungua
 
Habarini Wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada, Speaking honestly kwa ninayoyaona na kuyasoma kuhusu Ndoa yananikatisha tamaa na kunifanya niwe negative minded though we all know kwamba ndoa ni jambo jema ila kwa yanayondelea sijui km tutapona,
Kuna siku uzalendo ukanishinda tulikuwa tunaongea mazungumzo ya kawaida na Baba and I told him naiogopa mno ndoa japo ni kwa kuiskia tu story zake...
Akanitazama then akanijibu tu "Mwanangu kwenye Ndoa kuna uvumilivu wenye mwisho na uvumilivu usio na mwisho"..!! Nikamdadisi ila hakunijibu direct alichokimaanisha akanieleza ipo siku nitakuja kuelewa maana yake..!
So please, kwa wenye uzoefu at least naombeni mnipe mwanga nini hasa Baba Yangu alikimaanisha..!!
alimaanisha kwamna marriage is transactional,nipe nikupe,give take.Ila pia ni kamari ya winner takes all..So ukiwa ndoani usilali na ch*p*
 
Back
Top Bottom