Alichonishauri Baba kuhusu ndoa,

Alichonishauri Baba kuhusu ndoa,

Watu wana pesa na majumba ya kifahari, ila hawana ndoa, hawaoni maana halisi ya maisha, we bado upo young damu inachemka umbo namba nane waona dunia yote yako na wanaume wote hawakufahi, unajichagulia tu kama nyanya sokoni! Tukutane kuanzia 35 tuone utakuwa na akili ya namna gani!
Tunakumbushana coz yashazungumzwa mengi!

Ndoa si shule kupata cheti baada ya mitihani! Usitegemee kupata jibu halisi juu ya ufafanuzi wa maneno hayo ya mzee, ingia UYAONE!!
Shukrani Mkuu..!!
 
"Mwanangu kwenye Ndoa kuna uvumilivu wenye mwisho na uvumilivu usio na mwisho"..!! Kweliii ila UKIWAZA sanaaa...ka ushaonja pipi..wewe WATAKIWA wowaa/olewaaa usituletee WOgA haapaa

Raha ya ndoa ....kulala bila nguo UNA MANUA MANUUUuuuuuuu, ukigeuka huduma ipooo ukinunaa soft touch na lugha nyepezi "nisamehe mupenzi wanguuu" ukifika kazini wawaza wenzio wasioooooaaaaa KISHA wampigia uliye mnunia wampigia simu "I love u darling, mwaaaaaaaaaaaaa""
Saawa Mkuu Umeeleweka.!!
 
1.KUNA MAKOSA YANAYOSAMEHEKA.
2.NA MAKOSA YASIYOSAMEHEKA.

hivyo ndo Mshua wako alimaanisha!
Yasiyosameheka ni yapi,? Na ndo yatakayovunja ndoa ama??
 
Baba yako kukwambia usubiri utakuja kuelewa ana maana yake sa ww kihere here cha nini mkuu
 
Kwa hiyo unafikiria kuishi maisha ya namba gani kwa mfano?
Unataka u single mother au uwe mtawa?
 
Mweleze Mungu ungependa aje akupatie Mume wa aina gani wakati itakapofika!
Na unaomba mapema ukikumbuka unamkumsha ikiwa Kwa wakati huo wala hauko tayari pengine uko Shule mfano!
Ikifika uko tayari unaomba sasa Hata Kwa maombi ya kufunga swaumu
 
Ninachojua Mungu ana Watu wala usipime [emoji108]🏻[emoji108]🏻!
Ktk nyakati hizi ambapo michanganyo imezidi na lakini pia kuna Watu waaminifu kabisa!
Kuna wanaume watulivu kabisa ambao wanaweza kuishi na wake zao hadi uzeeni bila kuchepuka!
Mapungufu mengine ni kawaida ya kuchukuliana ambapo hata Wewe unayo yako hukalamilika!
 
Ila kanuni mojawapo ya Mungu Kwenye ndoa ni ya kupewa wa kufanana nae!
Kama unataka Mume mwema jifunze namna ya Wewe kuwa Mke mwema!
Ukitaka Mume aliyetulia basi na Wewe yakupasa kuwa binti mtulivu!
Ukitaka Mwenye moyo wa upendo, subra na huruma na Wewe yakupasa uwe hivyo!
Lakini eti ubadilishe ma boyfriend tangu sekondari hadi Chuo halafu utegemee kupata mwanaume mtulivu [emoji14][emoji14][emoji14] labda ujaliwe Neema maalum toka juu!
 
Ndoa kitu rahisi sana, tatizo la Watanzania mnaoa/olewa na mtu ambaye hakuna attraction sexually baina yenu, ndo maana zinawashinda.

Siri kubwa ya kufanikiwa ndoani ni ,,attraction” hiyo ndo mambo yote, kama hauvutiwi kimapenzi, yaani kama haumwangalii mwenzio na kupandisha mzuka wa kutaka kusex naye na kuwa na hisia kali za kimahaba naye, achana naye!
Maisha ni zaidi ya sexually attraction,ukiangalia hicho kipengere ndiyo kinawafanya wengi waingie chaka.
 
Maisha ni zaidi ya sexually attraction,ukiangalia hicho kipengere ndiyo kinawafanya wengi waingie chaka.


Ni kweli, lkn bila ya attraction hakuna Ndoa hapo, hilo halijadiliki kama kweli unataka Ndoa yako iwe na amani na furaha, hayo mengine unaweza kuyafanyia kazi, lkn kama hakuna attraction, na hii ni kwa wote wawili , sahau!
 
Back
Top Bottom