Alichonishauri Baba kuhusu ndoa,

Alichonishauri Baba kuhusu ndoa,

Usioe kabisa mkuu,maana hata baba yako hakuelezi yaliyomo,wewe kaa hivyo hivyo tu.
 
Ahsante Mkuu Ila Mie n Ke..!
Acha woga mkuu... ndoa ni tamu sana kama ukiwa na busara na ukajua mwenzio anapenda nini na nini hapendi na ukajiheshim... hutakuja kujuta kuoa, binafsi nina enjoy sana kuoa. ULISHAAMBIWA UISHI NAO KWA AKILI SASA UKIONA UMESHINDWA KUISHI NAE JUA KUWA WEWE HUNA AKILI...
 
Mwamin MUNGU,dont marry a stranger,yaangalie maisha yako kunatabia unazo za kwako hata ww mwenyewe huzipendi bado unapambana nazo,hivyo ndivyo alivyomtu unayetaka kuishi nae,maisha yamejaa kuvumiliana katika kila hali sio katika ndoa tu hata mahusiano yoyote,lower your expectations,marry a reasonable person,marry someone you like not necessary you love him/her.maisha ni zaid ya kuoana.
Wise sayings Mkuu, shukraniii sana..!!
 
tunahitaji chaguo sahihi..!
 
Watu wana pesa na majumba ya kifahari, ila hawana ndoa, hawaoni maana halisi ya maisha, we bado upo young damu inachemka umbo namba nane waona dunia yote yako na wanaume wote hawakufahi, unajichagulia tu kama nyanya sokoni! Tukutane kuanzia 35 tuone utakuwa na akili ya namna gani!
Tunakumbushana coz yashazungumzwa mengi!

Ndoa si shule kupata cheti baada ya mitihani! Usitegemee kupata jibu halisi juu ya ufafanuzi wa maneno hayo ya mzee, ingia UYAONE!!
 
"Mwanangu kwenye Ndoa kuna uvumilivu wenye mwisho na uvumilivu usio na mwisho"..!! Kweliii ila UKIWAZA sanaaa...ka ushaonja pipi..wewe WATAKIWA wowaa/olewaaa usituletee WOgA haapaa

Raha ya ndoa ....kulala bila nguo UNA MANUA MANUUUuuuuuuu, ukigeuka huduma ipooo ukinunaa soft touch na lugha nyepezi "nisamehe mupenzi wanguuu" ukifika kazini wawaza wenzio wasioooooaaaaa KISHA wampigia uliye mnunia wampigia simu "I love u darling, mwaaaaaaaaaaaaa""
 
Back
Top Bottom