Alichonifanyia ni sahihi?

Alichonifanyia ni sahihi?

leipzig

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
2,766
Reaction score
1,714
Wiki mbili tatu zilizopita nilianzisha uhusiano na binti ambaye nilimtamani kama sio kumpenda.

Moyo wangu ulivutiwa na umbo lake na baada ya kuongea naye kidogo nikajisemea rohoni huyu ndio atakula matunda ya kazi yangu.

Nilikuwa najiuliza huyu binti mzuri hivi waharibifu hawajamuona? labda nilipangiwa mimi kuwa naye nk.

Siku moja akaniambia yeye ana mtoto mdogo ambaye amemkabidhi aliyezaa naye, nikaanza kuwa na maswali iweje amkabidhi mtoto kwa baba angali mdogo wa miezi minne tu?

Kadri siku zinavyoenda nimekuwa nam finance vizuri tu kiasi kwamba hata kwao wamemshtukia,wanamuuliza mbona unapendeza hivo siku hizi na yeye anawajibu ni kawaida tu! Kwa kweli nam feel moyoni.

Sasa jana kaninyima usingizi, kaniambia hana uhakika kama nampenda kweli, anasema sisi wanaume ni waongo sana.

Eti kuna mwanaume alimsaliti na hivyo ameachana kabisa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume yoyote.

Mpaka sasa ana miezi saba hajafanya mapenzi, akijisikia hamu huimaliza kwa kuangalia picha za xxx.

Ninachojiuliza kwanini hakuniambia siku zote hizo mpaka ananiambia hivi leo wakati mimi nimejitoa kwa hali na mali kumjali?

Sasa wenye mauzoefu niambieni nifanyeje ili niufungue moyo wake uliojeruhiwa.
 
Ww shida yako kumkaza tu...muombe kidude akikupa moyo ataufungua mwnyw ukimshughilikia vzr
 
Wiki mbili tatu zilizopita nilianzisha uhusiano na binti ambaye nilimtamani kama sio kumpenda. Moyo wangu ulivutiwa na umbo lake na baada ya kuongea naye kidogo nikajisemea rohoni huyu ndio atakula matunda ya kazi yangu. Nilikuwa najiuliza huyu binti mzuri hivi waharibifu hawajamuona!labda nilipangiwa mm kuwa naye nk.
Siku moja akaniambia yeye ana mtoto mdogo ambaye amemkabidhi aliyezaa naye,nikaanza kuwa na maswali iweje amkabidhi mtoto kwa baba angali mdogo wa miezi minne tu?
Kadri siku zinavyoenda nimekuwa nam finance vizuri tu kiasi kwamba hata kwao wamemshtukia,wanamuuliza mbona unapendeza hivo siku hizi na yeye anawajibu ni kawaida tu! Kwa kweli nam feel moyoni.
Sasa jana kaninyima usingizi,kaniambia hana uhakika kama nampenda kweli,anasema sisi wanaume ni waongo sana. Eti kuna mwanaume alimsaliti na hivyo ameachana kabisa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume yoyote. Mpaka sasa ana miezi saba hajafanya mapenzi,akijisikia hamu huimaliza kwa kuangalia picha za xxx.
Ninachojiuliza kwanini hakuniambia siku zote hizo mpaka ananiambia hivi leo wakati mimi nimejitoa kwa hali na mali kumjali? Sasa wenye mauzoefu niambieni nifanyeje ili niufungue moyo wake uliojeruhiwa!
Anakuandaa aje akupige mzinga wa nguvu..........shtuka
 
Piga hiyo papuchi usihangaike na limoyo lake litafunguka lenyewe,maadam limoyo linasukuma damu kisawasawa we mpe mapigo ambayo hajapewa.
 
Pornography ni addiction, na huenda kapoteza hamu kabisa ya kudo na mtu. Nenda naye taratibu, ila nakushauri maombi ya kufunguliwa. Muelezee kama imefikia ngumu kwake kuacha kuangalia basi mfanye maombi wenyewe. Mkifunga na kusali itapotea. Then msizini, chukua hatua zote uoe.

La kuhusu mtoto, inashangaza fuatilia ujue sababu, ingawa sioni sahabu ya msingi ya kumwacha mtoto mchanga kwa baba yake. Unaweza usipate sababu sahihi, lkn ukapata mwanga wa kujua a kind of a person your girlfriend is. Kutokea hapo, amua.
 
Unaibiwa mchana kweupeee yaani huoni huo ni uongo?? Mtoto miezi minne ampeleke kwa Baba yake?? Ok fine na mbona anakudanganya eti hajado for seven month??? Huoni kuwa anaogopa kumbemenda mwanae ambae anaishi nae na si kwamba yuko kwa Baba yake??? Vitu vingine viko wazi kabisa
 
Eti eeenh, hivi "kubemenda" hii inakuwaje???!!
 
Eti eeenh, hivi "kubemenda" hii inakuwaje???!!

OLESAIDIMU Kubemenda kwa tafsiri isiyo rasmi ambayo na mm huwa nasikia tu ni wazazi wenye mtt mdg aneyenyonya kufanya mapenzi na mtu au watu tofauti na uliyezaa nae inasemekana hupelekea mtt kutokuwa na afya nzuri.(Ila mimi sijawahi kushuhudia)
 
Last edited by a moderator:
Nenda nae kama CIA, mchunguze kwa makini, ukweli utaonekana ASAP.

Anza kumuuliza maswali ya mtego kuhusu yeye na huyo baba mtoto wake, chunguza kama wanawasiliana.

Jiulize behind the scenes za yeye kuwa kwako.

Ukweli utauona
 
Wiki mbili tatu zilizopita nilianzisha uhusiano na binti ambaye nilimtamani kama sio kumpenda. Moyo wangu ulivutiwa na umbo lake na baada ya kuongea naye kidogo nikajisemea rohoni huyu ndio atakula matunda ya kazi yangu. Nilikuwa najiuliza huyu binti mzuri hivi waharibifu hawajamuona!labda nilipangiwa mm kuwa naye nk.
Siku moja akaniambia yeye ana mtoto mdogo ambaye amemkabidhi aliyezaa naye,nikaanza kuwa na maswali iweje amkabidhi mtoto kwa baba angali mdogo wa miezi minne tu?
Kadri siku zinavyoenda nimekuwa nam finance vizuri tu kiasi kwamba hata kwao wamemshtukia,wanamuuliza mbona unapendeza hivo siku hizi na yeye anawajibu ni kawaida tu! Kwa kweli nam feel moyoni.
Sasa jana kaninyima usingizi,kaniambia hana uhakika kama nampenda kweli,anasema sisi wanaume ni waongo sana. Eti kuna mwanaume alimsaliti na hivyo ameachana kabisa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume yoyote. Mpaka sasa ana miezi saba hajafanya mapenzi,akijisikia hamu huimaliza kwa kuangalia picha za xxx.
Ninachojiuliza kwanini hakuniambia siku zote hizo mpaka ananiambia hivi leo wakati mimi nimejitoa kwa hali na mali kumjali? Sasa wenye mauzoefu niambieni nifanyeje ili niufungue moyo wake uliojeruhiwa!

Heee hili kosa la kufinance mtu kichwakichwa ndo linakucost.........feelings zake kwako unazijua??ulitanguliza pesa kwanza hata ningekuwa mim ningeficha makucha yangu......ushaur wangu jiengue hapo taratibu
 
Pornography ni addiction, na huenda kapoteza hamu kabisa ya kudo na mtu. Nenda naye taratibu, ila nakushauri maombi ya kufunguliwa. Muelezee kama imefikia ngumu kwake kuacha kuangalia basi mfanye maombi wenyewe. Mkifunga na kusali itapotea. Then msizini, chukua hatua zote uoe..

Hapa inategemea na imani yake...
 
kuwa na subira atakupa siku ya honey moon!........

Grand PA
 
Wiki mbili tatu zilizopita nilianzisha uhusiano na binti ambaye nilimtamani kama sio kumpenda....

Kadri siku zinavyoenda nimekuwa nam finance vizuri tu kiasi kwamba hata kwao wamemshtukia,wanamuuliza mbona unapendeza hivo siku hizi na yeye anawajibu ni kawaida tu!

Sijui ka wengine wameliona hili nililoliona mimi...

Kwa namna ulivyojieleza ni kama mahusiano yenu yana wiki tatu tu, na ni kuanzia tangu umuone/muonane hadi sasa...

Binafsi kuna maswali najiuliza:

1. Hivi ndani ya wiki tatu tu mwanaume unaweza kujicommit na kuanza kumuhudumia mwanamke kweli?

2. Huu muda unatosha kweli kumfanya mwanamke awe mchumba/mpenzi au ni papara zako kuogopa kumpoteza huyo mwanamke?

Sasa jana kaninyima usingizi,kaniambia hana uhakika kama nampenda kweli,anasema sisi wanaume ni waongo sana.
Eti kuna mwanaume alimsaliti na hivyo ameachana kabisa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume yoyote.

Kiukweli wanaume wengi huwa wanakosea kwenye hatua za awali za mahusiano...

Kosa kubwa ni kukimbilia kumwambia mwanamke unampenda kabla ya kujenga trust...

Mwanamke yoyote hupenda kuwa na mtu ambaye ana sifa ya kukumbatia kama kuku awakumbatiavyo vifaranga...

Matunzo ya kiuchumi si kigezo nambari moja...

Mpaka sasa ana miezi saba hajafanya mapenzi,akijisikia hamu huimaliza kwa kuangalia picha za xxx.

Na usijaribu kufanya naye ngono, kuna nafasi kubwa sana utapoteza zaidi maksi...

Ninachojiuliza kwanini hakuniambia siku zote hizo mpaka ananiambia hivi leo wakati mimi nimejitoa kwa hali na mali kumjali?

Jibu ni rahisi tu ni kwamba hajakuamini bado..

Sasa wenye mauzoefu niambieni nifanyeje ili niufungue moyo wake uliojeruhiwa!

Tengeneza imani baina yenu, lazima ajue kuwa wewe ndio ingredient pekee ya kutengeneza moyo wake...
 
Tengeneza imani baina yenu, lazima ajue kuwa wewe ndio ingredient pakee ya kutengeneza moyo wake...[/QUOTE]

Nimekupenda bureeee kwa ushauri wako mzur sn
 
Back
Top Bottom