Alichokisema Prof Muhongo: Kwenye Mjadala wa Bajeti ya Nishati na Madini

Prof. SOSPETER MHONGO....asante baba leo umeuidhihirishia uma wa watanzania kwamba zip...mbivu na mbichi bungeni....nakuombea maisha marefu AMEN
 
habari wana jf?

akijibu hoja mbali mbali za wabunge profesa muhongo amehoji juu ya sababu za kwa nini ale sendeka bado ni mwanachama wa ccm ili hali kuna ushahidi kua ni mchochezi ndani ya chama.

pfofesa ameongeza kuwa anakusudia kuwasilisha ushahidi huo uliopo kwenye cd kwenye chama ili chama kiamue kama kinaweza kuwa na mwanachama wa aina hiyo.

pia akahoji kwa kile alichokiita ujiniasi wa ole sendeka ndani ya bunge kwani ameonekana kama msumbufu na mtu anaependa kujaribu kukwamisha mambo mengi ya serikali.

akaenda mbali zaidi na kuanza kusoma matokeo ya kidato cha nne ya ole sendeka ili wabunge wapime ujiniasi anaouonesha ole sendeka kama unaendana na maokeo yake ya shuleni. kwa bahati nzuri kabla hajataja spika alizima maiki na kumuomba profesa asitaje hadharani.

nini maoni yako mwana jf juu ya swala hili ndani ya ccm?

nawasilisha.
Kwa ccm hii ni afya tuu na wala Muhongo hajakosea kabisa.

Lakini ingekuwa ni chadema mfano Mohamedi mtoi ataje hadharani matokeo ya Mbowe ninge kwambia angepigwa tofali na kufukuzwa.

Kwa ccm ni swala la kawaida sana na ni afya watu kulumbana kwa ushahidi kama alivyo fanya Mh Muhongo.

Lakini kwa Ukawa ni mwiko.
 
Hivi kilichowatoa wapinzani bungeni ninini jamani?.
Mkuu Tanzania hakunawapinzani bali tuna watu wenye price tag kama uzi unavyo sema na ndicho tunacho jadili hapa.

Kuhusu sababu za wao kutoka nje kuna uzi hupo unaweza kuchungulia lakini usitegemee mtu kama Lema kuwa na sababu za msingi na sidhani kama anajua leo ni wizara gani ina wasilisha.
 
uzalendo wa kwa nchi yako hakuna uhusiano wowote na elimu. elimu ya Ole sendeka sio tatizo kwa sababu amekidhi vigezo vya kuwa mbunge kama kuwa mbunge kuna hitaji uprofesa basi iweke kwenye vigezo vya kugombea
 
Hana dharau,kama mmegeuza bunge ni pahala pa ushambenga nae atawajibu kisomi na kitaalauma,hivyo msiojijua mnasema ana dharau . wahini kwenye mikutano ya Slaa haraka.
1. KASOMA RULING YA MAHAKAMA KUU. IMETEKELEZWA KWA AMRI YA MAHAKAMA. KAMA MNAONA RULING SI SAWA MWAMBIENI LISSU AKATE RUFAA. PENGINE NAYE YUPO KWENYE KAMERA ZA KICHINA CCTV
 
Kusema ni muhimu, muhimu zaidi ni kuleta hiyo CCTV kabla hatujaaamua. Isije baadaye tukaambiwa Muhongo ni kichaa.


Kwani unadhani ni mzima huyo muhongo? Eti profesa jamani badala ya kujibu hoja anafatilia cv za watu aliye mwambia elimu ndio inaongoza wakina profesa wenzake maji marefu and co-wasingekuwa wabunge personal attack kwenye sensitive issue? hewa kabisa
 
Mwenye data za matokeo ya ole sendeka kitato cha nne na sita apost humu mtandaoni tupate kumpima.
 
huyu prof.ni mtanzania?kikwete anaangaliaga sifa zp anapoteua?

ukiachia dini yetu,sifa nyingine ambayo mkulu huitumia kuteua wasaidizi wake ni ushikaji/urafiki wa mkulu na mteuliwa.ufanisi wa mtu unapewa nafasi ya mwisho.
 
Kwani unadhani ni mzima huyo muhongo? Eti profesa jamani badala ya kujibu hoja anafatilia cv za watu aliye mwambia elimu ndio inaongoza wakina profesa wenzake maji marefu and co-wasingekuwa wabunge personal attack kwenye sensitive issue? hewa kabisa
Huyu si ndo mengi alisema hajawahi kuajiri hata house gril?Ni majanga amesoma lakini hajelimika.Pia sikujua JF kwamba ina w.a.p.u.m.b.a.v.u wengi kiasi hiki wasiopenda nchi yao na rasilimali zake.Huu nao ukichaa mpya kwa kizazi hiki.
 
Ni shida ukiona kiongozi ambae tulitaraji angekuja na hoja na ushahidi wa kinagaubaga kwamba yanayosemwa hayapo au ni uongo lakini vinaibuka vioja vya hali ya juu na ni tatizo kubwa sana na tunapata wasiwasi ujasiri huo unatoka wapi
 
Hili la IPTL bado sijapata jibu,nina wasiwasi kuna tatizo kubwa kuliko tunavyoliona.Sababu kama kungekuwa hakuna shida Muhomgo hangekuwa na sababu ya kutukana waliotaka kujua shida ni nini?Wala hakuwa na sababu ya kuwadhalilisha wabunge wenzake,hivi unamuaibisha mtu halafu kesho unatakiwa kufanya naye kazi kweli kunakuwa na mahusiano mazuri?

Ni lini chama tawala itawaona wapinzani ni watanzania wanaotakiwa kuheshimiwa pia?
 
Hebu twambie alicho ongea kinacho idhalilisha serikali.
Hivi kama ana ushahidi watu wana chukua pesa hasiseme?
Tatizo lako ni kukurupuka. Soma alichoandika aliyeanzisha uzi huu. Serikali inalalamika. Maanake nini? Hasiseme ndiyo nini? Tulia.
 
mtu mwenyewe mbunge viti maalumu halafu analeta mbwembwe zake za kishamba[/QUOT

viti maalum ni kwa wanawake tu ili kuleta uwiano wa kijinsia bungebi.muhongo ni mbunge wa kuteuliwa kwa nafasi aliyopewa raisi kikatiba ya kuteua wabunge kumi kama alivyo james mbatia.
 
Back
Top Bottom